mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LGE2024 Kagera: Wananchi waipa CCM Katerero 100% uchaguzi Serikali za Mitaa

  2. M

    LGE2024 Nimefurahi yaliyotokea kwa CHADEMA Serikali za Mitaa

    Wakati misuko misuko ya kisiasa ilipokuwa upande wa Zanzibar, wanasiasa wengi waliamini mizozo ya kisiasa ya Zanzibar ni ya kihistoria, hawakujua kwamba ilikua nguvu moja kuindoa nyingine. Wanajf wengi wakiponda wakiona kama mambo ya kufikirikika. Sasa yamehamia upande wa pili. Ambao enzi...
  3. LGE2024 Arusha: CCM yashinda Mitaa yote Minne ya Kata ya Osunyai Jr

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda katika mitaa yote minne ya Kata ya Osunyai Jr, ambapo matokeo ya mitaa hiyo ni kama ifuatavyo: 1. Osunyai 2. Mtaa wa Jr 3. Kirika B 4. Ngusero
  4. Pre GE2025 Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!

    Wana JF, Maadam JF ni ukumbi wetu, na sisi humu JF, tuko members wengi, na tumefanya mengi, hivyo mimi member mwenzenu Pascal Mayalla, naomba niwe wa kwanza, kuwajulisha wana JF wenzangu, ili kuwapa ile JF advantage ya wewe kama Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa...
  5. LGE2024 Lindi: Nape apiga kura Serikali za Mitaa Jimboni Mtama, atinga na pikipiki

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amepiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo Wagombea wote wakubali matokeo. "Watu wamejitokeza kwa wingi hilo jambo linafurahisha, nataka kutoa wito kwa Wagombea wote wakubali matokeo sababu hii...
  6. M

    Kama kuna hitilafu na wizi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, itakuwaje kwenye uchaguzi mkuu?

    Chama kama kinakubalika na wapiga kura Kuna haja Gani ya kutumia nguvu kubwa namna hii na wizi wa kura ata uchaguzi wa serikali za mitaa? Aya ni maajabu mengine nayashuhudia Tanzania Kwamba kura zishapigwa kitambo waliopiga awajulikani Daah hii kitu inaitwaje sijaelewa kabisa ni mambo ya aibu...
  7. LGE2024 Lindi: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa apiga kura kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa

    Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa Novemba 27, 2024 ameshiriki katika zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, kwenye kituo cha Shule ya Msingi Nandagala, Ruangwa, Lindi. Akizungumza baada ya kupiga kura ambapo aliongozana na Mkewe Marry Majaliwa...
  8. LGE2024 Arusha: Maoni ya Wananchi kuhusu zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa

    Maoni ya wakazi wa Kata ya Levolosi, Arusha kuhusu zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024. TBC imeshuhudia zoezi hilo la upigaji kura likiendelea katika mazingira ya amani na utulivu. Baadhi ya wananchi waliopiga kura wameonyesha...
  9. LGE2024 Kilimanjaro: Naibu Waziri Ummy Nderiananga apiga kura Kiriche katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mbunge wa Viti Maalum ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga ameungana na wananchi wa Kitongoji cha Kiriche kupiga kura mapema leo Novemba 27, 2024 kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa katika Kata ya Makuyuni, Kitongoji cha Kiriche...
  10. LGE2024 Dodoma: RC Senyamule apiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amepiga kura katika kituo cha shule ya msingi Dodoma Mlimani iliyopo Mtaa wa Salmini kata ya Tambukareli. Baada ya kupiga kura amezungumza na Waandishi wa habari ambapo amewahimiza wakazi wa Dodoma kutimiza haki yao ya kikatiba kwa kujitokeza...
  11. LGE2024 Dar: Amos Makalla apiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla, amewasili mtaa wa TPDC Mikocheni B Jijini DSM kwa ajili ya kupiga kura ya kuchagua viongozi wa serikali za mitaa ikiwa Mwenyekiti pamoja na wajumbe wa Serikali za Mitaa.
  12. LGE2024 Tanga: DC Kubecha apiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa

    Mkuu wa wilaya ya Tanga Mhe Japhari Kubecha leo Tarehe 27 Novemba 2024 Ameongoza Wananchi wa Wilaya ya Tanga kwenye zoezi la kupiga kura kuchagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata ya Central kituo cha Raskazone.
  13. M

    LGE2024 Zanzibar hakuna Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, tupeane elimu kidogo kuhusu Chaguzi

    Hivi karibuni huko Tanzania Bara kumekuwa na mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo leo Novemba 27, 2024 Wananchi wanapiga kura. Mimi kama mdau wa siasa na mifumo ya Uchaguzi Zanzibar nimekuwa nikipokea maswali mengi kuhusu kwanini Zanzibar kumekuwa hamna shamrashamra za Uchaguzi kama...
  14. LGE2024 Mbunge Festo Sanga ashiriki katika upigaji kura wa Serikali za Mitaa, Kijiji cha Bulongwa

    Mbunge wa Makete (CCM), Festo Sanga ni mmoja kati ya Wabunge ambao wamejitokeza kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024 katika Mikoa yote Nchini. Sanga amepiga kura katika Jimboni la Makete, Kijiji cha Bulongwa - Kitongoji cha Amani.
  15. LGE2024 Mbunge Ghati Chomete: CCM Imejipanga Vizuri, Lazima Itashinda kwa Kishindo Uchaguzi Serikali za Mitaa

    MBUNGE GHATI CHOMETE: CCM IMEJIPANGA VIZURI, LAZIMA ITASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete, tarehe 26 Novemba 2024 ahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kuwaombea kura wagombea wa CCM Wilaya ya Musoma...
  16. LGE2024 Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa, Hakuna Kiongozi hata mmoja wa Serikali aliyewahi kutoa karipio Juu ya Uovu Uliokuwa Ukitendeka

    Nchi yetu ya ajabu sana, iliyojaliwa kuwa na viongozi wa ajabu pia, viongozi wanaobariki maovu alimradi maovu hayo yawe ni dhuluma ya kuwanufaisha CCM. Fikiria, waziri Mchemgerwa ndiye mwenye jukumu la kutengeneza kanuni za uchaguzi, akatengeneza kanuni za hovyo kabisa, ikiwemo ile ya kifungo...
  17. LGE2024 Polisi Songwe wafanya doria kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Saa chache kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Serikali za mitaa, vitongoji na vijiji kesho Jumatano tarehe 27 Novemba, 2024 Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe mapema leo Novemba 26, 2024 limefanya doria za magari na miguu katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Songwe ikiwemo mji wa Tunduma wilaya ya...
  18. LGE2024 Wananchi wa Lupembe wako tayari kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wananchi wa jimbo la Lupembe wameeleza utayari wao kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika leo Novemba 27, 2024 Nchi nzima huku wakiweka wazi Matarajio yao kwa viongozi wapya watakaochaguliwa Wananchi hao akiwemo Fikiria Vicent Kisogole, Salvina Barton Mpolo na Martina Isdol...
  19. LGE2024 Tundu Lissu anazungumza kuhitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Ikungi Singida

    Wakuu. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anazungumza muda huu huko mkoani Singida kuhitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Fuatilia uzi huu kujua nini kinaendelea Tundu Lissu amesema kuwa mara ya mwisho Tanzania kufanya Uchaguzi ilikuwa nwaka 2014 kwani mwaka 2019...
  20. LGE2024 Tamko la CCM kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    TAMKO LA CCM KWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeandaa tamko maalum kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024. Uchaguzi huu ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu, kwani utahusisha kuchagua wenyeviti wa mitaa, vijiji, vitongoji, wajumbe wa kamati za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…