Biashara ntashirikisha familia yangu niliyoijenga (hasa watoto) ama familia niliyotokea (kaka, dada, wadogo zangu, wazazi), nje ya hapo hawa watoto wa mjomba, ma mkubwa, ba mkubwa, ba mdogo, ndugu flani, n.k. sidhani kwakweli, undugu uwepo na ninaweza kuwasaidia mitaji ama kuwasimesha pamoja na...
Kwanza nikiri watoto wa vigogo wengi wamesoma sana na wana bidii sana kwenye masomo.
Zamani niliaminishwa vijijini kwamba watoto wa matajiri hawapendi shule na kwamba huwa wanafeli.
Baada ya kusogea mbele ki elimu nikahama mkoa niliokuwa naishi huko vijijini nilikutana na ulimwengu wa tofautu...
Hbr za siku,
Nina rafika yangu wazazi wake wote walikuwa waajiriwa wa taasisi za umma na kwa Kweli walifikia hadi nafasi za juu sana katika hizo taasisi walizo ajiriwa hivyo mishahara na pension zao ziko vizuri mno.
Hoja
Jamaa ni mwaka wa nne hana kazi ni kula kulala tu amejaribu kuomba angalu...
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa wa kiongozi wa mfano katika kuipaisha na kuiletea mageuzi makubwa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) ikiwemo kuipa mtaji wa bilioni 208 kuwezesha kujiendesha kiufanisi.
Imesema mtaji huo umeiwezesha benki hiyo kutengeneza faida na kukuza mtaji wake...
Ishakuwa kawaida kila mara kusikia umoja wa mataifa ya i;aya wanatoa misaa ya ku;eta unafuu wa hali za uchumi kwa wamamchi, pesa zinatolewa lakini zinaishia juu kwa juu
Maana tangu zamani tunasikia tu misaada ya kuwainua watanzania kiujasiriamali ili wakuze uchumi inatoka kila mwaka.
Ajabu ni...
Vijana wanapenda kujiajiri ila wengi hawana mitaji anzisheni mikopo ya graduates ila kuipata mwaangalie vyeti tu na vitambulisho vyao ili wajiajiri wenyewe na kodi zitaongezeka.
Wazazi wamejinyima wamewasomesha watoto ili wapate ajira. Wazazi wengine hata nguo nzuri hawakununua, wala nyama na...
Sote tunajua Awamu ya tano ilivyokuwa ikiwapora Wafanyabiashara wa Ndani pamoja na kubambikiwa Kodi zenye nia ya kuwafilisi Wafanyabiashara wetu wa ndani.
Kuona hivyo Wafanyabiashara wengi walipekeka Mitaji yao Nchi za Nje.
Ni pesa nyingi ya Watanzania iko Nchi jirani.
Samia awaombe warudishe...
Google wametoa misaada kupitia black founders programme kwa nchi za Africa kwa mitaji ya milioni 116 na milioni 230 kulingana na uhitaji wa biashara lengo likiwa ni kuzisapoti biashara zinazochipukia ili kutengeneza ajira na kuleta maendeleo.
Wanufauka ni
Nigeria - nafasi 23
Kenya - Nafasi 12...
Yaani mfanyabiashara akishaonja mafanikio ya kufikia hatua flani ni ngumu sana kukubali kushuka hasa pale anapofilisika ama biashara kwenda kombo.
Ni ngumu sana kumwambia aanze kuchoma mishkaki, Never !
Kwa hali hii navyoona hapa wengi inabidi wageukie hata ujambazi na utapeli au hata kafara
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi za "Kwa Maslahi ya Taifa". Tanzania sio masikini, Tanzania ni nchi tajiri sana yenye Rasilimali lukuki, ila watu wake ni masikini Kwa Umasikini wa files. "Umasikini m-mbaya kabisa ni umasikini wa fikra"-JK Nyerere...
Biashara ni ni kazi nzuri sana lakini inahitaji akili nyingi sana ili uweze kuifanya kwa mafanikio ukafikia ukaipenda na kuona maisha yako bila biashara nikazi bure,yahitaji ujue kufikiri sana sana kabla hujaianza au kuingia. (Usikurupuke)
Leo nataka nitoe siri 1 ya mafanikio ya waliofanikiwa...
Rais Samia amesema Vijana wengi wanasubiri Ajira wanapomaliza kusoma, lakini hawahangaiki kutafuta fursa za kazi. Ameeleza, "Kazi zipo nyingi Tanzania, ni Vijana kuchakarika, kuziona hizo fursa na kuanza kuzitumia"
Ametoa rai hiyo leo Januari 07, 2022 wakati akishiriki Maadhimisho ya Kilele cha...
"Use force to reach the end " hii ndio slogan iliyonitoa kuwa tegemezi mpaka kujitegemea, ukichanganya na "sacrifice the betterment of few days for the long time joyfulness". Ukichanganya hizo slogan mbili 10M bila kukopeshwa , kupewa, kubebwa, na maendeleo mengine yakaja,.
Ninapoomba huu...
Kwa ulimwengu wa sasa huu ndio ukweli, kutokana na tamaa na mahitaji ya anasa kuongezeka kote duniani; wanawake/warembo wengi hupenda kutumia njia ya mteremko, hasa pale wanapopata mtu wa kuwahonga. Ndio maana kwa hali ya sasa mtu anapendewa pesa au mamlaka aliyonayo yanayowezesha kumrahisishia...
Vijana wengi tumekuwa tukitoa kutokuwa na mtaji ndio excuse ya kuto fanikiwa kwenye biashara ,ni kweli mtaji ni kama fuel kwenye vehicle pia biashara inahitaji vitu Kama mtaji , plan,na mind set ya mtu yaani ule utayali wake wa kufanya biashara...Sasa tukiachana na hivyo vingine tungalie tu mtu...
MITAJI / MIKOPO
a) Wakopaji
Kuna wadau wengi katika Jamvi letu wanakuwa na uhitaji wa pesa kwa wakati Fulani lakini hawana pa kuzipata. Pia sababu watu hatujuani ni vigumu kuaminiana ila JF inaweza kutumika kama platform ya kuwaunganisha wahitaji (kwa kuwa-verify wakopaji) ili waweze...
Jambo jambo waungwana. tunaanza ni siku ya tatu inafika sina hela mfukoni kila ninaye mtangazia shida yangu naye ananipa yake kichwa kinaniuma nifanye nini na kuiba ni kitu ambacho sikitaki. aisee mimi kama kijana mpaka sasa nimeshafanya kazi kama muajiriwa katika taasisi fulani maisha yalikuwa...