mitambo nane jnhpp

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mitambo nane Bwawa la Nyerere yakamilika, bado mmoja

    Mitambo nane kati ya tisa inayojengwa katika Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere, imekamilika na mmoja uliobakia utakamilika mwishoni mwa mwezi huu. Kauli hiyo imetolewa bungeni jana Januari 31, 2025 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko wakati akichangia kwenye azimio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…