mitano tena

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magari ya milioni Tano (5M) kushuka chini

    Ndugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001. Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa. Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena. WhatsApp 0712 148001.
  2. Pre GE2025 UVCCM Geita, wamewataka Wabunge na Madiwani wasijihalalishie Mitano tena

    Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imewataka baadhi ya Wabunge pamoja na Madiwani wanaojipitisha katika Maeneo mbalimbali na kuhalalisha mitano tena kupitia nafasi zao kuacha mara moja kwani ni kosa kwa mujibu wa taratibu za Chama. Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  3. Pre GE2025 Watangazaji Crown FM wageuza kauli ya "Mitano Tena" pambio kwenye kipindi, kweli wataweza kukemea uovu hawa?

    Wakuu, Hapa, watangazaji wa Crown FM wanadhihirisha jinsi ambavyo baadhi ya vyombo vya habari vimesahau wajibu wao wa msingi na kugeuka kuwa vyombo vya matumizi ya kisiasa. Soma: Wasafi, Clouds na Kitenge ni matambara ya kudekia ya CCM, kusafisha matapishi na uchafu wote unaomwagwa mbele yao...
  4. Pre GE2025 UWT Iringa walivyowaimbisha 'Mitano tena' wanafunzi wakisherekea birthday ya Rais Samia

    Ndio hivyo..!😎 Katika kusherekea siku ya kuzaliwa ya Rais Samia, Jumuiya ya Wanawake wa CCM (UWT) mkoa wa Iringa imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wanafunzi wenye Ulemavu na usonji wanaosoma katika Shule ya Msingi Sabasaba iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa na kuhimiza wazazi...
  5. Tetesi: Wajumbe mkutano mkuu CHADEMA wapokea bahasha nono, Mbowe mitano tena

    Wasalaam, Kuna taarifa za uhakika kutoka kwa mjumbe mmoja wa kamati kuu kwamba CCM wameingilia kati uchaguzi kwa lengo la kuhakikisha Mbowe anashinda na wajumbe wengi wametumiwa miamala kwa simu zao ili wamchague Mbowe. Inasemekana kutokana na njaa kali ya January hii wajumbe wengi wameamua...
  6. Bora ulivyosema Free man mbowe mitano Tena! Ungesema Saa100 mitano Tena , wangekuua kabisa!

    Picha inajieleza! Sitaki maswali mengi,ninajiandaa kumaliza mwaka 2024.
  7. Mitano tena kwa Samia nini ushauri wako kama Mtanzania mwenye nchi?

    Kauli "Mitano tena kwa Samia" nadhani si ngeni masikioni mwa watanzania walio wengi. Ina maanisha kuwa baada ya kumaliza kipindi cha urais uliopatikana kwa mkono wa Mungu, rais Samia apewe miaka mitano tena ya kuongoza kuanzia mwakani baada ya uchaguzi mkuu. Je wewe kama mtanzania mwenye nchi...
  8. Endeleeni Kuimba Mitano Tena, Lakini Mtaishia Kulia na Kusaga Meno

    Hivi mmepatwa na nini ndugu zangu Watanzania? Uendeshaji ulio feli wa CCM unaosababisha nchi kuingia madeni makubwa na kuathiri tija kwa taifa hadi nchi kutegemea kuchimbiwa vyoo na nchi wahisani, kutegemea vyandarua vya bure ili kuwakinga na malaria wake zetu wenye mimba nk huku tunaendelea...
  9. M

    Pre GE2025 Mitano tena kwa Rais Samia Suluhu

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ameonyesha sifa kadhaa ambazo zinaonekana kufanana na sifa za rais bora: Uadilifu: Rais Samia ameonekana kujitahidi kufuata maadili ya uongozi na kutoa kipaumbele kwa maslahi ya umma. Uongozi bora: Tangu kushika madaraka, Rais Samia ameonyesha uongozi...
  10. L

    Pre GE2025 CCM Tumeamua Kumpa Mitano Tena Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Huo ndio uamuzi kutoka katika mioyo ya mamilioni ya wafuasi, wakereketwa,mashabiki na wanachama wa CCM Nchini kwote.kuwa ni lazima tumpe Miaka mitano Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
  11. M

    KWELI Makamu wa Rais akishika nafasi ya Rais kwa muda wa miaka 3 au zaidi ataruhusiwa kugombea kipindi kimoja tu

    Nimeona mjadala kuhusu mihula anayoruhusiwa kugombea makamu aliyeshika madaraka ya Urais kutokana na kuchukua kiti katikati ya muhula baada ya Rais aliyekuwepo madarakani kushindwa kuendelea aidha kwa kufariki akiwa madarakani, kujiudhuru au sababu za kiafya. Mjadala umechagizwa na kauli ya...
  12. Watanganyika fanyeni utafiti watu wanaosema Mitano Tena! Wapuuzeni haraka 2030 mtalia na kusaga meno

    Wanapiga kelele na kusema mitano Tena Hawa hapa. Wapuuzeni na mwaepuke kama ukoma.
  13. Siasa za Tanzania kwa saizi ni huru na haki mama Samia mitano tena

    Binafsi nina imani na tume ya uchaguzi,nina imani na mahakama,nina imani na serikali, nina imani na uongozi huu wa Mh Samia suluhu Hassani . Nimeshuhudia maboresho mengi ya mifumo sasa Tanzania iko shwari. Hapa sasa nimeamini ule msemo wa mabadiliko mtayapata ndani ya CCM . Naimani 2025 Mama...
  14. Pre GE2025 Rais Samia amechafuka kipindi cha majaribio. Je, tumpe tena mitano au asipewe fomu?

    Miaka ya majaribio madini na bahari mapori vyote vimeuzwa kwasasa Tanzania ina deni la trilioni 91 hii maana yake ni kwamba kwa Watanzania milion 60 kila mmoja anadaiwa Tsh 1,500,000/=. Kwanza hapo ulipo hiyo pesa unayo? Kwangu mimi naona chawa wapunguze mihemko mama ana kila sababu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…