Mifereji ya Kawe stendi inatoa harufu mbaya sana, na ukizingatia kuna biashara zinafanyika zikiwemo biashara ya kuuza chakula.
Harufu inayosambaa katika eneo hilo ni takribani siku 5 sasa, na inavyoonekana ni mifereji ya kupitishia maji imejaa uchafu na kusabisha kutokea kwa harufu hiyo...