mitaro kuziba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ukishuka Airport Dar ukapita barabara kuu unaona jinsi nchi na watu wake walivyochoka. Viongozi mnafeli wapi?

    Yaani kama ulitoka nje ukashuka airport Dar miaka 8 iliyopita, ukashuka miaka mitano iliyopita na ukashuka leo, unakutana na barabara ni lami siyo lami, vumbi tupu, makorongo matupu, mitaro ya waziwazi iliyojaa maji machafu, yaani kanchi kamechoka kamechoka kwelikweli. Hivi nyie watawala...
  2. KERO Idara ya Maji Mbeya zibueni chemba za maji taka zilizoziba, zinasababisha kero kubwa

    Taarifa iwafikie Idala ya Maji safi na maji taka mkoa wa Mbeya. Hivi huwa mnautaratibu wa kukagua chemba za maji taka hapa jijini maana mji mzima umekuwa ukinuka harufu ya maji taka. Mwanzo ilikuwa chemba ya pale Sabasaba karibu na ofisi za CCM, ilikuwa ikivujisha maji taka kwa muda mrefu sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…