mitihani

National Examinations Council of Tanzania (NECTA; Swahili: Baraza la Mitihani la Tanzania) is an agency of the Tanzanian government, headquartered in Dar Es Salaam, that proctors tests given nationally.
It manages the Certificate of Secondary Education Examination.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    Je Serikali imabariki Dar es Salaam Secondary kufukuza au kuhamisha wanafunzi wanaopata daraja la IV katika mitihani ya ndani?

    Naomba mamlaka zinazoshughulika na elimu kuanzia Afisa elimu jiji LA Dar es salaam, Afisa elimu mkoa wa Dar es salaam na Waziri wa elimu, mtupatie majibu sahihi ya hiki kinachofanyika Dar es salaam secondary na baadhi ya shule za serikali kama Pugu secondary na kwa shule za msingi kinatokea kwa...
  2. Harvey Specter

    Waliozuiliwa matokeo kidato cha nne kurudia mitihani 2025

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi 29, 2024 huku matokeo ya wanafunzi 67 wakiwemo watano walioandika matusi yakifutwa. Matokeo hayo yametangazwa leo Alhamisi Januari 23, 2025 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk...
  3. realMamy

    Hivi huwa mnasomaje ili kufaulu Mitihani?

    Habari! Naomba kufahamu mbinu za usomaji mzuri ili mtu aweze kufaulu vizuri mitihani yake na kufanikiwa kupanda ngazi nyingine. Nitawashukuru sana.
  4. KikulachoChako

    Maisha: Ni mitihani gani au changamoto zipi ulizokumbana nazo maishani mwako na kuzikubali na kuamua uishi nazo ili maisha yaendelee?

    Habari za asubuhi waungwana wa humu jamvini...... Hakika maisha ni safari ndefu sana na wakati mwingine kwenye maisha tunakumbana na changamoto na mitihani mbali mbali....... Kuna baadhi ya changamoto na mitihani tunazikabili na kuzipatia ufumbuzi na kuendelea na maisha na kuna zingine kwa...
  5. Greatest Of All Time

    Baraza la Mitihani (NECTA) kutangaza matokeo ya Upimaji Darasa la Nne na Kidato cha Pili leo

    Habari wakuu, Wazazi mmefikiwa, matokeo ya upimaji wa mitihani kitaifa kwa darasa la nne na kidato cha pili kwa mwaka 2024 yatatangazwa leo kuanzia majira ya saa 5:00 asubuhi na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA). Majukumu ya January yanaanza, mjiandae punde matokeo yakitoka yatawekwa hapa...
  6. The Watchman

    Mwanafunzi wa MUST abuni mfumo wa kudhibiti wizi wa mitihani

    Hamza Salum ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya amebuni mfumo wa kulinda mitihani ambao unatajwa kuleta tija katika kukabiliana na wizi na uvujishaji wa mitihani nchini. Chanzo: Azam TV
  7. Pelekaroho

    Kituo cha Lookman Sinza kimezuia baadhi ya Wanafunzi kufanya Mitihani ya kidato cha 4 2024

    Mitihani ya kidato cha nne imeanza Jumatatu ya tarehe 11 Novemba. Leo Alhamisi moja mitihani waliyofanya ni practical Biology. Kuna kituo cha watahiniwa binafsi kipo Sinza leo wamewazuwia watoto watano wasiingie kwenye mtihani wakiwa wamefika kituoni saa moja na dk 35 na mtihani umeanza saa nne.
  8. Kingsmann

    Ratiba ya Mitihani Kidato cha 4: Kenya Vs Tanzania

    Ukiziangalia tu hizi Timetable utajua ni kwa kiasi gani mitaala yetu ilivyo famba. Bado tuna safari ndefu sana.
  9. RIGHT MARKER

    Ufanyike uchunguzi kwa Wanafunzi wanaoandika matusi kwenye mitihani ya taifa

    Mhadhara - 51: Inaleta ukakasi kwa mwanafunzi mdogo (kiumri) anayefanya mitihani ya taifa ya kuhitimu elimu ya shule ya msingi kuandika matusi kwenye karatasi la majibu (Answer sheets). Napendekeza ufanyike uchunguzi kwa wanafunzi ambao wanaandika matusi, huenda nyuma ya hii tabia kuna watu...
  10. ARMs14

    Matokeo ya darasa la Saba kwa Mwaka 2024 yatoka, ufaulu wapanda kwa asilimia 0.29

    Wakuu matokeo ya mtihani wa darasa la vii kwa mwaka 2024 yametoka. Matokeo ya Darasa la saba yatangazwa leo Oktoba 29, 2024 yaliyotangazwa na Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani Necta Dkt. Said Ally, ambapo watahiniwa 974,229 kati ya wanafunzi 1,230,774 waliosajiliwa kufanya mtihani wamefaulu...
  11. M

    Msaada kwa Mwalimu huyu; Mikono inatetemeka sababu ya pombe kali. Anashindwa kuweka saini na kusahihisha mitihani. Ipi tiba yake?

    Ni jamaa yangu..kila siku nipo naye kijiweni. Ila mikono inatetemeka na anashindwa kusaini na kusahihisha madaftali. Ipi tiba yake?
  12. Mjukuu wa kigogo

    Unaweza fikiri ni wanachuo wanajiandaa na mitihani...

    Hatari sana hii betting inakotupeleka.
  13. Roving Journalist

    Wanafunzi 1,230,780 kufanya mitihani ya kuhitimu elimu ya Msingi leo Septemba 11, 2024

    Wanafunzi 1,230,780 wamesajiliwa na wanatarajiwa kufanya mitihani ya kuhitimu Elimu ya Msingi kuanza leo Septemba 11, 2024, kati yao Wavulana ni Asilimia 46 na Wasichana ni Asilimia 54 Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA), Dkt. Said Mohamed amesema masomo yatakayotahiniwa ni Sita...
  14. Hypersonic WMD

    Hivi mitihani ya Wizara ya Online tunafanyia kila mtu nyumbani kwake au Tunaenda kwene hizo venue walizopanga? Na kama online si online

    Wakuu hebu nisaidie hizi kazi za Afya zilizotoka saizi za online interview
  15. A

    KERO Tuliambiwa tufike Chuoni St. Francis kwa gharama zetu sababu mitihani tuliofanya imepotea kwa ahadi ya kuwa refunded, sasa wanagoma kutulipa

    Naomba niwasilishe changamoto zetu kwa mamlaka husika kupitia nyie ili tupate ufafanuzi wa kulipwa gharama tunazowadai chuo. Wanafunzi wa Chuo cha Udaktari St. Francis (Morogoro, Ifakara) tulipokea taarifa ya kuitwa chuoni siku ya jumatatu bila kukosa wakati tupo likizo bila kuambiwa sababu ya...
  16. A

    KERO Kuna wimbi la michango Shuleni hasa Shule za Msingi

    Mbali na kwamba tuna elimu Bure lakini sasahivi Shule za Msingi kuna utitiri wa Michango (Tozo) mfano mzuri ni Shule ya Msingi Mapinga iliyoko Bagamoyo, kata ya Mapinga. Kuna utitiri wa Michango 1. Mchango wa Hela ya mlinzi 3000/= 2. Hela ya Mtihani ni sh 6700 kwa mwaka 3. Hela ya jiko Tsh...
  17. R

    KERO Waziri wa Elimu Prof. Mkenda, tueleze mitihani ya kila wiki kwa kuwalipisha wazazi mchango wa Tsh. 1,500 kila Ijumaa , ndiyo sera uliyoiruhusu?

    Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy? Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi? Au...
  18. Kingsmann

    Kwanini karatasi za mitihani ya wanafunzi ndiyo zimegeuzwa vifungashio vya maandazi?

    Just imagine hii ni karatasi ya mtihani wa "MOCK" uliofanyika mwaka huu mwezi May tu hapo, ila hata kabla ya wanafunzi hawajapewa "Marking Scheme" tayari answer sheet yake imeshafika Dar kutoka Mwanza. Na mtihani wa Mock ni mtihani wa 2 wa uzito baada ya mtihani wa taifa. Binafsi siku...
  19. JanguKamaJangu

    Prof. Mkenda: Waziri hana mamlaka ya kuingilia chuo kama umefukuzwa kwa kudanganya

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kama Waziri mwenye dhamana ya Elimu nchini hatoingilia mamlaka za Vyuo Vikuu zinapochukua hatua mbalimbalu za kinidhamu katika udanganyifu wa mitihani Kauli hiyo ameitoa Julai 12, 2024 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na...
  20. Abraham Lincolnn

    Video; Wanafunzi wakifanya mitihani wakiwa wameketi chini nje kwenye vumbi

Back
Top Bottom