Wale wanaotafuta msaada kutoka kwa shetani mwanzoni wanapewa masharti marahisi sana.
Kwanza kabisa fahamu ushirikina wowote lazima kufanya Update ili uendelee kubaki katika Peak. Unapoenda kuomba msaada kwa shetani mwanzoni mambo ni shwari sana.
Mfano mtu anatafuta utajiri mwanzoni huwa rahisi...