Mhadhara - 51:
Inaleta ukakasi kwa mwanafunzi mdogo (kiumri) anayefanya mitihani ya taifa ya kuhitimu elimu ya shule ya msingi kuandika matusi kwenye karatasi la majibu (Answer sheets).
Napendekeza ufanyike uchunguzi kwa wanafunzi ambao wanaandika matusi, huenda nyuma ya hii tabia kuna watu...
Wazazi, mnashirikiana na shule kuwatesa watoto.
Vitoto vyenyewe bado vidogo, miaka 11-13, vinaamshwa saa 10 au 11 alfajiri kuwahi shule. Wanawahi nini exactly?
Na bado watakaa shule mpaka saa 12 kisa remedials, kurudi nyumbani saa 1 jioni.. mtoto anafika hoi, hajiwezi, hajacheza, hajafanya...
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inafanya mageuzi makubwa ya mfumo wa elimu kuanzia sasa hivi. Watakuwa na mpango wa muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu. Katika mipango hiyo kuna mitihani ya Taifa ambayo itafutwa kabisa. Hawaoni sababu ya kuwepo kwa mfumo wao mpya wa elimu.
Jinsi...
Wakuu habari zenu . Ivi utaratibu wa kuandaa mitihani ya necta upoje kuanzia utungaji wa maswali, uchapaji wa mitihani, kuhifadhi mitihani mpaka kufikia kuisambaza katika vituo vya mitihani.mchakato huwa unakuaje wadau, nna hamu sana ya kujua na inshaallah mungu akijalia nije nifanye kazi huko...
Ninavyojua shule zinafungwa tarehe 27 mwezi huu watoto wajiandae kuhesabiwa.
Hii ya baadhi ya shule binafsi kuwabakiza watoto wa kidato cha nne halafu kuwaambia waongeze ada kwa ajili hiyo imekaaje? Tena bila kuwashirikisha wazazi?
Mimi naona kila mtu aheshimu maamuzi ya Serikali kama...
Mimi Taaluma yangu ni mhandisi ambaye nilipenda sana somo la fizikia enzi nikiwa shuleni.
Nimejaribu kurejea mambo wanayofundishwa watoto wetu nikashangaa kuna upotoshaji mkubwa.
Mfano:
NECTA FORM 2 ya mwaka 2019 kwenye Section A, swali la 1, (i) ameuliza ifuatavyo
(i). Why Physics...
Kenya Mwaka jana mwanzoni au Mwaka juzi walizindua mtaala wao mpya wa CBC yaani Competetive Based curriculum.
Huu mtaala wao mpya mtoto anapimwa kwa uwezo alio nao na si kwa uwezo wake wa kukariri na kuja kujibu mtihani.Kipaji binafisi cha mtoto ndo kinapimwa, hakuna kushindanisha mashule tena...
Inaonekana mpaka sasa, swala la form2 kuvuka kidato cha 3 kwa wastani ni kiini macho. Serikali inatakiwa kuwa makini, elimu ya Tanzania inashuka kiwango kwa kuwa na watu ambao taaluma yao haina viwango. Tunahitaji wataalamu makini. Mungu ibariki Tanzania.
Soma Pia: National form II Results 2009...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.