mitiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jaytravo

    Shamba la mitiki linauzwa lina zaidi ya miti elfu 1700 karibu ununue karibu uwekeze kwa uwaminifu sana lipo tanga korogwe

    Habari za wakati huu ndugu zangu najua wengi mmesikia kuhusu kilimo cha miti ya mitiki hekari moja inaweza kukuingizia zaidi ya milion 300 kwa hekari moja kwa miti iliyokomaa. sasa basi lipo shamba lenye hekari 6 lenye miti zaidi ya 1700 lililopo tanga korogwe lenye miti ya miaka 12 mpka 14...
  2. H

    Shamba la miti (mitiki) linauzwa, heka 14 na nusu

    Habari, Shamba la miti (mitiki) LINAUZWA, heka 14 na nusu Miti: 4000 na zaidi yenye umri wa miaka 14 Bei: 500m miti elfu 4000 na kuendelea Mahali: Tanga, Muheza kijiji cha kiwanda Document: zina process manispa
  3. Kuteseka Maganga

    Kilimo cha mitiki

    Nimelima miti aina hii ni mwaka wa 4 sasa tupeane changamoto
  4. bachelor sugu

    Kipi bora kati ya miembe ya kisasa na mitiki?

    Habari za usiku ndugu katika Jukwaa hili. Nimekuwa njia panda nikijaribu kufikiria kipi ni bora kukifanya kati ya hivyo viwili katika heading hapo. Hebu tujaribu kupanuana mawazo katika hivi vitu viwili, ni kipi bora kukifanya kwanza kati ya kupanda miti ya miembe ya kisasa au kupanda miti ya...
Back
Top Bottom