Habari za usiku ndugu katika Jukwaa hili. Nimekuwa njia panda nikijaribu kufikiria kipi ni bora kukifanya kati ya hivyo viwili katika heading hapo.
Hebu tujaribu kupanuana mawazo katika hivi vitu viwili, ni kipi bora kukifanya kwanza kati ya kupanda miti ya miembe ya kisasa au kupanda miti ya...