mitishamba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Elimu juu ya nguvu za kiume, PMS, saikolojia, Sanaa ya mapenzi, lishe na mitishamba. Too deep

    https://youtu.be/Fh1P-A3RQbg?si=tEi8cxUnz1rTIuQe
  2. Vijana wengi sio dhaifu (Simps) tatizo ni mitishamba

    Tukitoa changamoto zingine zinawaandama vijana wa kiume ila hili la kuwa dhaifu (simp) kwa wapenzi wao ni changamoto inayozidi kuwa kubwa. Vijana wengi wamepoteza mwelekeo na kujikuta kwenye majuto baada ya kuingia kwenye mahusiano na wanawake makatili. Huku mtandaoni kumekuwa na wanaharakati...
  3. FIBROIDS (uvimbe kwenye kizazi)

    Epuka kutumia mitishamba yenye athari kali bila ushauri wa kitaalamu. Tumia kwa kiwango kilichopendekezwa, kwani matumizi kupita kiasi yanaweza kusababisha madhara mengine. Hakikisha kupata ushauri wa daktari kwa sababu baadhi ya mitishamba inaweza kuathiri dawa unazotumia au hali yako ya...
  4. Ukiumwa nenda hospitali achana na mitishamba

    Kuchanganya dawa za hospitali na ungaunga wa mbao ndio mbinu wanayotumia wataalam wa mitishamba kuwahadaa wagonjwa. Ukiumwa nenda hospitali achana na dawa zisizo thibitishwa, usiseme sijakwambia. Soma Pia: Matumizi makubwa ya Diclofenac, Diclopar na Mitishamba husababisha Ugonjwa wa Figo
  5. Matumizi makubwa ya Diclofenac, Diclopar na Mitishamba husababisha Ugonjwa wa Figo

    #AFYA: Wataalamu wa Afya wameonya kuhusu matumizi makubwa ya Dawa za Kuondoa Maumivu zikiwemo Diclopar na Diclofenac na kueleza kuwa yanasababisha madhara kwenye Figo ambapo mtu anayepata athari hizo ataishia kuhitaji huduma za Kusafishwa Damu (Dialysis). Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani na...
  6. Dawa muhimu na dawa za mitishamba

    Uko upande upi? Binafsi nazikubali dawa muhimu kwa kuwa ni uhakika kupona unapozitumia, zimeundwa kwenye Right Proportion (Composition), pia wataalamu wamekaa maabara miaka na miaka kuzifanyia utafiti, ni rahisi kutumia n.k
  7. Watalaamu wa uchawi, mitishamba na tiba asilia naombeni msaada wa kuelewa

    Heshima kwenu wakuu. Katika kutafuta maarifa huku na kule, nikapata RITUAL moja hivi kwenye website fulani. Hiyo ritual ina maelekezo katika vipengele 11. Katika hivyo vipengele 11 kuna ambavyo nashindwa kuelewa ndio nimekuja kuomba msaada kwenu watalaam wa mambo ya kiroho na watalaamu wa...
  8. Walokole wenzangu, kutumia mitishamba sio uganga

    Tumepewa roho na mwili, kwahiyo usiishi kiroho zaidi ukasahau kuwa una mwili, unatakiwa kubalance vitu hivi viwili. Si mara moja, si mara mbili, walokole wengi wako radhi AfE kuliko kutafuna mzizi, hao hao ukiwapa vidonge wanashukuru. Sio kwa ubora wa dawa za kizungu bali baadhi yetu wanaamini...
  9. Msaada dawa ya mitishamba ya appendix

    Habari wataalamu wa Afya, Nina Mgonjwa Anasumbuliwa sana Na Appendex. Hayupo tayari kufanyiwa Operation. Kulingana na Athari za Operation kwenye mwili. Japo ni operation ndogo lakini amekataa katakata kufanyiwa Operation. MSAADA KWA MTU ANAYEWEZA KUTUSAIDIA KUPATA DAWA ZA MITISHAMBA ZENYE...
  10. M

    Vyakula sio tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo ni kudharau mitishamba inayosafisha mfumo wa mwili

    Mitishamba ipo na huwa inafanya kazi. Mitishamba ilitumiwa na mababu zetu enzi na enzi na ndio maana walikuwa na wake zaidi ya wawili na shoo za ukweli zilipigwa. Leo hii nashangaa kawama inakuwa mara vyakula. Sasa kama vyakula vimeharibu mwili kwa nini usitumie miti shamba kurekebisha mwili?
  11. Dawa hii ya meno, ya mitishamba ipo wapi tena?

    Kuna dawa za mitishamba zinauwezo mkubwa sana. Kama kuna dawa ilikuwa inaitwa ngetwa dfp kama nitakuwa nimekumbuka vizuri, sijui hii dawa imepotelea wapi, iliokoa jino langu. Nilikwenda hospitali ya meno, dokta akaniambia hili jino ni la kung'oa, ilikuwa miaka kadhaa iliyopita na upachikaji wa...
  12. Kumbe Tanzania tuna mitishamba. Tulikuwa tupigwe nne kabisa

    Ni nguvu ya mitishamba imetuokoa na hii ni wazi kuwa Tanzania tupo vizuri kwa mawitchdokta. Kupunguza goli nne mpaka moja.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…