mitsubishi outlander

  1. MaduhuJ

    Nauza gari Mitsubishi Outlander (2009) - Bei ni Mil 18.

    Nauza Mitsubishi Outlander ya 2009, bei ni Mil 18. Niliagiza ikiwa na Km 132,000 (Genuine) sasahivi ina km 150,000 kwahiyo nimeitembelea Km 18,000 tu. Haina shida yoyote kwenye engine, gearbox wala body. Doc zote zipo kwenye jina langu. Niliinunua mwezi wa 9/2022 then 2023 nikaipaki home Dodoma...
  2. MaduhuJ

    Car4Sale Nauza gari Mitsubish Outlander (2009), bei ni Tsh. Mil 18

    Nauza Mitsubishi Outlander ya 2009, bei ni Mil 18. Niliagiza ikiwa na Km 132,000 (Genuine) sasahivi ina km 150,000 kwahiyo nimeitembelea Km 18,000 tu. Haina shida yoyote kwenye engine, gearbox wala body. Doc zote zipo kwenye jina langu. Niliinunua mwezi wa 9/2022 then 2023 nikaipaki home Dodoma...
  3. M

    Mitsubishi outlander budget 28m ya seat 7

    Nataka kununua Mitsubishi outlander wadau naulizia fuel consuption yake lita1 inakwenda km Ngapi ..navip outlander kuanzia ya mwaka upi nichuke na yenye specification zipi ndio Bora zaid
  4. and 300

    Subaru Forester & Mitsubishi Outlander nichukue ipi?

    Wakuu nimeingia tamaa ya kubadilisha Xtrail kwenda 2009 Subaru Forester XS 2.5 au 2009 Outlander nichukue ipi?
  5. kwezi magari

    Car4Sale Corolla rumion inauzwa mpya

    Toyota rumion Cc 1490 Year 2007 Price 16milion Call 0686475568
Back
Top Bottom