mitumba

The Mitumba Mountain range stretches along the Western Rift Valley in Eastern Congo (DRC), west of lake Tanganyika. The two main peaks, Mount Kahuzi (3,308 m) and Mount Biéga (2,790 m) are dormant volcanoes.

View More On Wikipedia.org
  1. Jinsi nilivyokuza mtaji wangu wa viatu vya mitumba kwa kuiba viatu (Ni hatari sana, usije ukajaribu utauawa kifo kibaya sana)

    Mbingu na nchi zitapita, lakini neno la Mungu litaishi milele. Wananchi na wana nzengo wenzangu, maisha ya kijana wa kiume ni nusu kuzimu, robo peponi na robo nyingine duniani. Duniani mnayo dhiki nyingi lakini jipeni moyo. Maisha yangu ya ujana yalijawa na changamoto nyingi, uchumi duni...
  2. Yoweri Museveni Rais wa Uganda amepiga marufuku Mitumba. Amesema ni Nguo zilizoachwa na Wafu wa Ulaya

    My Take Rwanda tayari,Uganda tayari. --- The President was speaking at the opening of 16 factories at Sino-Uganda Mbale Industrial Park yesterday. President Museveni has re-echoed the need for citizens to embrace the Buy Uganda Build Uganda (BUBU) policy if the country is to develop. In line...
  3. B

    Kuagiza mabelo ya mitumba toka UK, Canada na USA

    Wakuu, Ninapenda kuagiza mabelo ya mitumba toka UK, CANADA na USA. nimejaribu kusearch bila mafanikio. Kwa mwenye uzoefu, naomba maelekezo au ukashare linki ya site inayo uza.
  4. Marufuku ya mitumba wenzangu na mimi tutatoboa kweli?

    Asilimia tisini kama si zaidi ya Watanzania tunapiga mitumba, ndio tunayoweza kumudu. Hatuna viwanda vinavyojitosheleza kwenye sekta hii kiasi cha kuzalisha nguo zenye ubora na gharama nafuu kwa wengi kumudu. Mitumba imekuwa chaguo la wengi kutokana na kwamba unapata bidhaa nzuri kwa bei nafuu...
  5. Serikali kununua vitu vya mitumba Sheria/Katiba inasemaje?

    WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Reli (TRL) wanaupinga mpango wa serikali wa kununua mitambo chakavu ya mwekezaji kutoka India ambayo ilikodishwa kwa ajili ya kusaidia kupunguza tatizo la usafiri. Kampuni ya Reli ya India (Rites), ambayo ni mwekezaji mwenye asilimia 51 za hisa za TRL, iliagiza...
  6. J

    Mitumba inapatikana wapi hapa Kahama?

    Habari za mchana wadau wa jukwaa hili. Nimeingia kahama kwa lengo la kuishi hapa baada ya kutoka Arusha. Nataka kufanya kazi ya mitumba (pointa). Natamani sana sana kujua soko kuu la mitumba lipo wapi hapa Kahama ? Asanteni!
  7. Hongera TRL kwa Mabehewa Mapya. SGR ni Reli Mpya ya Kisasa; Je, Mabehewa Haya ni Mapya ya Kisasa? Hakuna Ubaya Kutumia Mitumba, Ila Tuambiwe Ukweli!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Hili ni maslahi ya taifa ya pongezi kwa TRC nimeona mzigo wa mabehewa mapya ya kisasa ya reli ya kisasa ya SGR ukipokelewa bandarini, DSM, hivyo hatua ya kwanza ni kutoa pongezi kwa TRL kwa kazi...
  8. Kwanini Serikali haipigi marufuku uingizaji wa mitumba?

    Hakuna nchi inayoweza kuendelea bila kulinda na kuendeleza viwanda vya ndani. Na njia kuu ya kulinda viwanda vya ndani ni kuzuia bidhaa cheap kutoka nje ya nchi. Ndiyo maana China waliikataa Google, facebook nk. Ndiyo maana US waliipiga pini Huawei. Hili jambo mataifa karibu yote ya Afrika...
  9. Naomba kuuliza kuhusu chimbo zuri la kununua mitumba balo za mitumba

    HABARI WANAJAMVI, Naomba kuuliza kuhusu chimbo zuri la kununua mitumba balo za mitumba za nguo mbalimbali hapa Tanzania na nje. Connection naomba na kwa ushauri pia nipo tayari kupokea kwasababu ndiyo nataka kuanza hii biashara
  10. Kenya 2022 Raila: Serikali nitakayoiongoza haitazuia biashara ya Mitumba

    Raila Says Azimio Gov’t Will Not Ban Mitumba Trade Raila spoke when he met the representatives from Gikomba market on Friday. He said the Azimio government will work hand-in-hand with traders to ensure the cartels that thrive in the market through the back door are dealt with by his...
  11. Soko Kuu la Mitumba Memorial Moshi lingejengwa kisasa, linaleta aibu

    Soko la Mitumba aina zote maarufu kama Memorial, lililopo katika manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro lipo katika hali ya kusitikitisha kutokana na kuwa limejengwa katika mfumo wa vibanda vya miti. Soko hilo pia limekuwa maarufu kutokana na kuwa na wateja wa mataifa mbalimbali wanaokuja kununua...
  12. Belo za pochi za mitumba ya kike kwa jumla zinapatikana wapi?

    Mwenye kujua tafadhali, nahitaji kujua chimbo hizo kwa hapa bongo zinapatikana wapi?
  13. K

    Naomba kuelekezwa sehemu wanaporusha mitumba ni Ilala ipi?

    Habari wana JF, Kesho nataka kwenda Ilala wanapopoint mitumba asubuhi, naomba kuelekezwa ni Ilala ya boma au hii ya amana hospital, natokea Gongo la mboto. Asanteni [emoji122]
  14. S

    Kodi za Mitumba

    Hivi serikali ina-charge kiasi gani? Hiyo kuna uwezekeno / uwiano upi kusaidia viwanda vya ndani?
  15. INAUZWA Wauzaji wa Nguo za Mitumba Aina Zote

    Tunauza nguo za mtumba quality za jinsia zote. Tupo kituo cha polisi sekei Arusha, mikoani pia tunatuma kwa uaminifu. Nguo zetu ni kwanzia 5,000 mpaka 50,000. Nguo ni nzuri sana, wasiliana kupitia 0763148588.
  16. Chuo cha IFM kimezingirwa na biashara ya mitumba, chips na mama lishe

    Hakika jiji la Dar es Salaam limevamia na wafanyabiashara wajasiamali maarufu machinga, mama lishe, wauza chips wauza mitumba kila kona. Wametanda pembezoni mwa barabara mbalimbali za jiji wakifanya biashara. Posta ndio usiseme kila sehemu ni vibanda vya mitumba, mama lishe wakipika vyakula...
  17. B

    Nani aliwahi kununua mitumba Bujumbura?

    Bismillah. Naomba kujua kwa mtu yeyote aliyeishi au kununua mtumba mji wa bunjumbura. Kat ya Dar na Bujumbura wapi mtumba wao n mkali na bei yao inatofaut sana na huku? Help me niga mi nko kigoma nataka nkapoint vikal buju. Naomba mwenye maujanja ananinasue Asanteni kwa kuja JF
  18. Wataalamu wa mitumba Kanda ya ziwa pita hapa

    Habari zenu mabibi na mabwana. Naombeni mnisaidie ni wapi pale Mwanza nitapata mtumba grade A, na nitatambua vipi ni grade A na bei zake kwa shati, tisheti na suruali? Natanguliza shukrani.
  19. Wapi nitapata nguo nzuri za mitumba kwa Mwanza

    Natafuta chimbo zuri la kupata mzigo mzuri wa nguo za mtumba grade one kwa Mwanza ni wapi naweza pata, nataka nifanye biashara ya nguo na mtaji wangu ni kidogo siwezi kununua belo lakini pia naogopa kupata lonya ipo 250k Naomba msaada kwa wajuzi?
  20. K

    Nataka kufanya Biashara ya Mitumba, ina changamoto gani?

    Habari, Ninatarajia kufanya biashara ya nguo za mitumba ila niliplan kuwa naziuza kwenye minada mwenye kufahamu changamoto zake. Naomba anifahamishe na pia kwa Dar anayejua minada inapofanyika au kwa aliyepo Moro anaejua minada inapofanyika na siku zake na malipo kwa siku inakuwaje na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…