mitume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Je, Mwanamke anaweza kupata ujauzito baada ya kutolewa kizazi kwa kuombewa na Manabii na Mitume?

    Habari za wakati huu wanajamiiforums! Jamani mimi binafsi kuna jambo napata ukakasi kuamini kama ni kweli. Ipo hivi kuna muda huwa naangalia channel za manabii na mitume maaraufu hapa Tanzania, Sasa kuna shuhuda huwa nazisikia mwanamke anadai kupata ujauzito bila ya kuwa na kizazi! Wengi wa...
  2. Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

    Mtume Paulo aliyaomba makanisa ya Rumi, Efeso na lile la Korintho yamuombee ili injili iweze kufika mbali zaidi kwa kinywa chake. Alipomaliza huduma aliaga katika barua kwa Timotheo kwamba ameilinda imani na kwamba anaenda zake kwenye taji aliyowekewa. Mtume Petro naye alikumbusha kuombea...
  3. Mwamposa, Lusekelo na Mitume wengine: Tenda ya kuyaondoa mapepo yanayorusha mawe Arusha!

    Mapepo kijiji fulani huko Arusha yamechachamaa. Yameanza kurusha mawe kama vijana wa kipalestina dhidi ya Waisraeli. Kwa vile mapepo hayo hayaonekani, wananchi wameamua kuvaa ndoo kichwani ili kujihami na hayo maw. Hapa ndo tuwaone kina Mwamposa, Lusekelo na Manabii wengine. Tenda hiyo...
  4. I

    Sasa hivi kwanini kila mtu au asilimia kubwa wamekuwa mitume au Mapasta au watumishi? Je, ni ugumu wa maisha!

    Leo katika pita pita zangu kila nilipokuwa nakaa tu anatokea kijana eti anataka aniombee yeye ni pasta. Sasa Mimi nilikuwa nakunali tu ili kuwachora. Leo nimeombewa kitaa na zaidi ya mapasta watano. Makanisa nayo yamekuwa utitiri huku mtaani kiasi ambacho nchi imekosa uelekeo kila mtu anaona...
  5. Tofauti ya Mitume, Manabii, Wainjilisti, Wachungaji na Walimu ni ipi?

    TOFAUTI YA MITUME, MANABII, WAINJILISTI, WACHUNGAJI NA WAALIMU NI IPI? Huduma hizi 5 tunazisoma katika kitabu cha Waefeso. Na madhumuni ya Bwana Yesu kuziweka huduma hizi tano (5), kama huduma za Uongozi katika kanisa ni kama mstari wa 12, unavyosema. Tusome tena.. Kumbe lengo la kwanza ni...
  6. Baada ya kuwakemea wachungaji, mitume na manabii wa kihuni, sasa zamu yenu Masheikh na Maustadhi wahuni

    Habari! Binafsi Mimi ni Mkristo, charismatic christian, situmbishwi na ninachokiamini kwakuwa nimekithibitisha. Kwasababu ya ukosefu wa ajira, kufukuzwa kazi, uvuvi , tamaa ya pesa na sifa basi watu wengi wamefungua huduma au wameingia kwenye huduma za Kichungaji, kinabii, kitume, kiinjilisti...
  7. Kwanini hakukuwa na Manabii/Mitume Waafrika (watu weusi)?

    VIP
  8. #COVID19 CDC: Waliochoma chanjo ya Corona wavae barakoa katika mikusanyiko ya ndani

    Mamlaka ya udhibiti na kuzuia magonjwa Marekani CDC imetangaza amri mpya kuwa watu wote walio choma chanjo ya kuzuia Corona waanze tena kuvaa barakoa katika mikusanyiko ya ndani. Amri hii inakuja miezi kadhaa tangu mamlaka hiyo ilipotoa ruksa kwa wote walio chanjwa kuto vaa barakoa. Maamuzi ya...
  9. Tunawashukuru Kaizer Chiefs kwa Ushirikiano. Simba hatafuzu hata akisaidiwa kucheza na Mitume

    Tumeshirikiana na Kaizer Chiefs vizuri. Dawa zinafanya kazi. Waganga wetu na wao wamemaliza game. Simba leo Hatoweza kufuzu. Hata akiwaweka mitume kwenye team yake wamsiadie Simba ndo anaishia hapa leo. Nipo tayari kupigwa Ban ya mwezi mzima. HAIWEZEKANI SIMBA KUFUZU HATA WALETE MIZIMU WACHEZE...
  10. Ishara 10 za manabii na mitume feki waliotapakaa Tanzania

    1. Wapo tayari kuungana katika kutetea kazi za usanii wanaoufanya ndani ya majengo ya makanisa. Lakini hakuna hata mmoja kati yao anayeweza kutawalika kwa mwingine! Kila mmoja anataka amtawale mwenzake. 2. Huwa wanafanya kazi zao kwa muundoo wa ku-copy & paste. Mfano wakiona kuna Nabii mwenzao...
  11. Kila moja Anamshangaa Halima Mdee, si CCM au Wapinzani lakini uzalendo na harakati mnazotaka afanye hata Mitume ziliwashinda

    Kwenye vipande vya fedha na Hofu usimwamini mtu yoyote. CCM wamejua pa kushika. Biblia inasema Yesu aliteua Mitume 12 tu aliowaamini Sana miongini mwa wanafunzi wake. Walishuhudia miujiza ya kila Aina na ishara nyingi kutoka mbinguni. Kama taswira za Elia na Mussa kilimani na Petro akashauri...
  12. J

    Askofu Gwajima: Mitume tumekuwa wengi Mungu amenituma sasa nikatumikie nchi na baadaye Dunia, sitarudi nyuma

    Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima Dkt. Gwajima amesema kwa sasa mitume wamekuwa wengi hivyo Mungu amemtuma aiache madhabahu na aende akaitumikie nchi na baadae kupitia nchi ataitumikia dunia. Askofu Gwajima ambaye ni mgombea ubunge jimbo la kawe ameyasema haya katika ibada kanisani...
  13. Uchawi na nguvu za giza katika nchi za SADC pamoja na uwezo wa Mitume na Manabii

    Nilikutana na dada mmoja Mnigeria, katika maongezi nilimfahamisha kuwa mimi ninatoka Tanzania. Tulipozidi kuzoeana aliniambia kule kwenu kuna namba mbovu sana ya uchawi, nilimjibu kuliko nyinyi? Alisema sisi ni waropokaji tu lakini uchawi mnaujua nyinyi ila hamjitangazi. Alinipa hadith fupi...
  14. Mwisho ama vifo vya Mitume na Manabii wa mwenyezi Mungu

    Uzi huu ni maalumu kuelezea kuhusu mwisho wa maisha ya Mitume na Manabii mbalimbali WA MWENYEZI MUNGU. Namna walivyo kamilisha safari Yao ya maisha Yao hapa duniani. Sababu zilizo pelekea vifo vyao. 1. YESHUA AMASHIACH ama YESU. Wakristo watanishambulia Kwa kumuweka katika moja na Manabii na...
  15. D

    Hati hati watumishi wa Mungu kukosa sadaka

    Kutokana na janga hili la korona lililo ikumba dunia limeleta athali kubwa sana katika nyanja zote za kiuchumi, kijamii na kisiasa. Viongozi wa makanisa na taasisi zingine za dini ziko katika hatari kubwa ya kukosa sadaka kutoka kwa waumini wao. Kwani pamoja na Mhs. Raisi wa jamuhuri ya Muungano...
  16. Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

    Poleni na majukumu ya hapa na pale sasa na kale yanayowafanya msilale, niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kama kweli maombi yanafanya kazi kwa namna ambayo tunaaminishwa, kwanini viongozi wa dini wameungana kutekeleza agizo la kuvunja mirundikano ikiwemo mijumuiko ya kiibada ili kuikwepa...
  17. D

    Natoa changamoto kwa maaskofu, maulamaa, mashekhe, wachungaji, mapadre, mitume na manabii wote

    Kule Vatican katika makao makuu ya kanisa ambapo ni sehemu kuu ya kumwabudia Mungu ambako ilitarajiwa ibada ya maji matakatifu kwa waumini hasa kipindi hiki cha Kwaresma kama Mungu alivyowaagiza miaka yote kwa sasa kumefungwa. Na maelekezo ya aliyowapa Mungu kufanya ibada hizo yamesitishwa kwa...
  18. Mitume na manabii wakutana leo Sinza, alikuwepo Gwajima, Mwamposa, Mzee wa upako na Mc alikuwa mtume Maboya....Raha tupu

    Na wengine wengi tu walikutana pamoja hotel moja na kutoa tamko la pamoja kama watu wa Mungu na wanaomhubiri Kristo wanasikitika sana kuona watumishi wengine wakifurahia shida za wenzaoo inasikitisha sana sana na wameapa hili jambo awataruhusu kwemye umoja wao. Mc Maboya alimkaribisha Askofu...
  19. Mitume na manabii tishio kwa Kakobe,Gamanywa na Fernandes ndio maana wanalalama

    Mwenge kakobe alikuwa peke yake akiwika Ghafla akakuta Mtume mwingira huyo kaingia hatua chache toka alipo na maelfu ya waumini akimiliki.hadi ndege na television ujogoo ukaisha ghafla Gamanywa na Fernandes walikuwa ndio majogoo mbezi Ghafla bin vuu wakakuta Mtume Mwamposya huyu hapa hatua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…