Wadau hamjamboni nyote?
Haya ni madai mapya kuyasikia japo yamekuwepo kwa Karne nyingi
Baadhi ya wanazuoni wanadai kuwa Lazaro rafikiye kipenzi na Bwana Yesu hakufa kweli japo ni kweli alizikwa!
Wanadai kuwa
Kilichotokea ni matumizi ya sayansi ya asili ya hali ya juu kabisa lengo...