Kiukweli haya maeneo mawili ya Oysterbay na Masaki ndio yanabeba taswira ya nchi kwa sababu ofisi nyingi za kidiplomasia na makazi yao zipo maeneo hayo.
Mashirika na taasisi karibu zote za kimataifa zipo huko. Pia makazi ya viongozi wote wa juu wa nchi. Wageni karibu wote wenye hadhi huwa ni...