Kuelekea Ujenzi wa barabara za kulipia Tanzania (toll road) David Kafulila, Mkurungezi Mtendaji PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa sio lazima mtu apite kwenye barabara ya kulipia kwani kila barabara ya kulipia itakuwa na barabara mbadala isiyo ya kulipia hii inampa mtumiaji uhuru wa kuchagua...
Hili sijui ni la Waziri wa Afya ama mazingira ama wote wawili?
Kuna uchafuzi mkubwa sana kwenye barabara za Dar es Salaam pamoja na mifereji na mitaro yake unaofanywa na makampuni yaliyopewa kandarasi za kusafisha barabara za jiji mitaro na mifereji yake na wahusika wala hawagutuki ama kuchukua...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ipo katika hatua za mwisho za kusaini Mkataba wa Ujenzi wa Daraja katika eneo la Jangwani jijini Dar es salaam ambapo mkataba unatarajiwa kuwa umesainiwa mwezi Septemba, 2024.
Bashungwa ameeleza hayo leo Septemba 02, 2024 jijini Dodoma...
Wakati Mheshimiwa Mbunge wa Kibamba akichangia bajeti ya wizara ya ujenzi 2024/2025 alisema tangazo la tenda ya kujenga barabara ya Mbezi Victoria kwenda Mpigi Magoe limeshatoka.
Nimetafuta kila mahala hili tangazo sijaliona kabisa, ninachokutana nacho ni tangazo la barabara ya kibamba shule to...
Nimeona Bashungwa kajitokeza fasta kusafisha anga baada ya Mwananchi kuja na makala hii, kweli uongozi mtamu! Malamiko kibao juu ya vivuko hivi hayaoni au? Ripoti ya CAG nayo ilieleza jinsi kivuko cha Azam kinavyolipwa baada vivuko hivi kuwa vichomi, leo anakuja kutuambia ni chuki binafsi?
--...
Ni muda wa miezi kadhaa sasa usafiri wa Treni za mizigo na abiria kati ya Mkoa wa Dar es Salaam, Tanga na Arusha umekwama kutokana na sababu kuu mbili.
Sababu ya kwanza ambayo nimeisikia na imekuwa ikitajwa ni kuwa reli ilikuwa inafanyiwa marekebisho ya hapa na pale.
Pili baada ya kukamilika...
Anonymous
Thread
arusha
dardar es salaam
miundombinumiundombinudar
treni
treni dar arusha
treni yakwama
uwajibikaji
Kuna maeneo nchini yana miundombinu mobuvu miaka na miaka lakini serikali wala haichukui hatua. Unakuta barabara mbovu, madaraja yamebomoka nk, lakini ni kama hakuna anayeoona!
Ni kwamba wanasubiri maafa yatokee ndio wachukue hatua? Wanasubiri mpaka watu wafe ndio wachukulie malalamiko ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.