Kutoka,
Sembeti, Marangu.
Kazi ya Ukamilishaji wa ujenzi wa daraja linalounganisha vijiji vya Samanga na Sembeti uliosimama kwa takribani miaka 20 inaendelea baada ya kupata fedha toka mfuko wa maendeleo ya jamii (TASAF) kiasi cha shilingi milioni 103.5 Kuendelea na kukamilika kwa Mradi huu ni...
Habari,
Kumekuwa na tabia ya viongozi wengi wa kisiasa katika ngazi za mikoa (majimbo) mbalimbali kufanya marekebisho ya miundombinu ya jimbo lao wanaposikia Rais atapita maeneo yao. Viongozi hawa wamekuwa wakimwaga na kusawazisha vifusi barabarani, kufanya ukarabati wa kuzuga ili kumuaminisha...