Hivi barabara ya kuelekea yatch club inatia fora,unakutana na mashimo,maandaki sehemu za huko ndiko wanakaa viongozi, Mabalozi, Wageni kutoka nje.
Wengine mpaka wageni wetu wanatuliza hivi huku ndiyo wanakaa matycoon mbona njia ziko ovyo.
Kingine cha ajabu hao wakandarasi wanachofanya ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.