Ukipitia barabara ya Arusha-Kiteto(Manyara) kupitia Orkesumet(Simanjiro) ni mbaya sana, basi linajaa kuanzia Arusha ni kukanyagana ni afadhali miaka kabla ya uhuru.
Upande wa pili barabara zinapita juu ya maji njia 4 Km 3.2 ndani ya nchi ile ile. Niliumia sana na kuwashangaa wamasai.
Bado kuna...
Mimi sio mwandishi mzuri ila kwa kweli inasikitisha sana nimepita mara kadhaa daraja hili lililopo mkoani Lindi barabara kuu ya Dar-Lindi, linamaliza ndugu zetu wa malori.
Ukitokea Lindi ni km 70, kuna mteremko sio mkali sana ila una kona kidogo, chini ya mteremko huo ndio kuna daraja ambalo...
Mitaa ya Majego, Nyasubi, Nyamhongolo, Nyihogo, Phantom, Nyakato, Mbulu, Marunga, Zongomela, Dodoma viwandani. Hiyo ni baadhi ya mitaa ya mjini ila hakuna sehemu hata Moja yenye Barabara ya lami. Barabara zote ni za vumbi sijui madiwa na Mh. Mkurugenzi hamlioni hilo.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema wizara kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imejipanga kufanya matengenezo makubwa kwa lengo la kurudisha mawasiliano kwenye barabara, madaraja, makalvati pamoja na vivuko zilizokatika kutokana na mvua za El-Nino.
Akizungumza na Shirika la...
Wahusika wa Barabara za Bugarika kwenda Mahina hadi Nyakato Temeke ni changamoto kubwa kwa wapita njia.
Imefikia wakati vyombo vya moto vinasubiriana upande kwa upande jambo ambalo linapoteza muda na mafuta katika foleni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.