miundombinu ya barabara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Kilwa: Tanroads yaanza kazi urejeshaji miundombinu ya barabara na madaraja iliyoathiriwa wakati wa mvua za Elnino na Kimbunga Hidaya

    Wananchi wa Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi wamepongeza Serikali kupitia Wakala wa barabara nchini Tanroads Mkoa wa Lindi kwa kuanza kazi ya urejeshaji wa miundombinu ya kudumu ya barabara na madaraja ambayo yameathiriwa wakati wa mvua za Elnino na Kimbunga Hidaya. Wakizungumza wakati wa ziara ya...
  2. A

    KERO Barabara ya Silent Inn mpaka Freedom Lodge Sakina Arusha ni Janga

    Barabara ya Silent Inn kuelekea kanisani Kiranyi na freedom lodge Sakina Arusha,iko kwenye hali mbaya mkandarasi aliyepewa kazi ya matengenezo anasua sua sana tangu mwaka jana ameshafanya kazi ya mitaro lakin amelundika vifusi vikubwa barabarani kiasi kwamba njia hii imeharibika pakubwa...
  3. A

    KERO Morogoro: Barabara ya Kisaki-Mikese ni mbovu, inasababisha changamoto kwa wanaoitumia

    Barabara ya kutokea Mvuha kupitia Kibungo Chini Mission kuja mpaka kutokea eneo la Mikese imekuwa kero kwa kila raia anayeitumia, na ajabu ni kuwa barabara hii imekuwa hivi kwa muda mrefu na hakuna anayejigusa. Cha ajabu ni kuwa kwa sisi wachimbaji wa mawe kila gari tunachangia Serikali kiasi...
  4. Roving Journalist

    TANROADS yasema imeimarisha udhibiti wa uzito wa magari kulinda miundombinu ya barabara na kufanya barabara kudumu muda mrefu

    Meneja wa Mizani wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Leonard Mombia ameeleza umuhimu wa kutumia mizani katika kudhibiti uzito wa magari kama njia ya kulinda barabara na miundombinu mingine nchini. Akizungumza kutoka Makao Makuu ya TANROADS, Mha. Mombia amesisitiza kuwa, udhibiti...
  5. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Miundombinu ya Barabara na Madaraja: Wanasiasa na Hila za Kukarabati Kipindi cha Uchaguzi

    Tunaelekea Mwaka wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge, na Madiwani Kadri tunavyokaribia mwaka wa uchaguzi mkuu, tutashuhudia mengi kutoka kwa viongozi walioko madarakani na hata wale wanaotaka kuonyesha nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Kwa kawaida, kuna tabia za viongozi fulani —...
  6. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ulega Atoa Maagizo ya Kuboresha Miundombinu ya Barabara Kipande cha Ubungo Hadi Kimara Kuepusha Msongamano

    WAZIRI ULEGA ATOA MAAGIZO YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA KIPANDE CHA UBUNGO HADI KIMARA KUEPUSHA MSONGAMANO Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, ametoa maelekezo ya haraka kuhusu mradi wa upanuzi wa miundombinu ya barabara za mabasi yaendayo haraka (BRT)Awamu ya Kwanza kipande cha...
  7. C

    KERO Kata ya Kibata wilaya ya Kilwa ina miundombinu ya barabara mibaya na kupelekea maisha kuwa magumu

    UGUMU WA MAWASILIANO YA BARABARA NA MADARAJA NDANI KATA YA KIBATA WILAYA YA KILWA NI WA KUTISHA. Kibata ni miongoni mwa kata 23 ndani ya Wilaya ya Kilwa. Kata hii Ina vijiji vinne. Kata hii Ina jumla ya shule nane(msingi 7 na Sekondari 1). Vilevile ni kata yenye dispensary 4 sawa na vijiji...
  8. Roving Journalist

    Mtendaji Mkuu wa TANROADS: Tanzania inashika nafasi ya 9 kwa miundombinu ya barabara na madaraja kati ya nchi 54 za Afrika

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi 77 ya ujenzi wa barabara na madaraja kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) yenye thamani ya Shilingi Trilioni 4.6. Aidha, Serikali kupitia TANROADS...
  9. Roving Journalist

    Jerry Silaa: Barabara ya lami ya KM 7.7 yenye thamani ya Tsh Bilioni 9.3 kuunganisha mikoa ya Singida-Simiyu-Arusha

    Wakazi wa Wilaya ya Iramba na Mkalama, Mkoani Singida, wanatarajia kunufaika na barabara ya kiwango cha lami inayojengwa kuunganisha mikoa ya Singida, Simiyu, hadi Arusha. Mradi huu, wenye thamani ya shilingi bilioni tisa, umefikia asilimia 65 ya utekelezaji. Waziri wa Habari, Mawasiliano na...
  10. Mwanongwa

    Pre GE2025 Kwa kasi hii ya kurekebisha miundombinu Mbeya, tunatamani Uchaguzi uwe kila Mwaka

    Hizi chaguzi zina raha yake jamani, huku Mbeya karibia kila Mtaa utakaopita unakutana na Magreda yakiendelea na kazi ya kurekebisha Barabara. Hii huwa inatokea kila tuingiapo kwenye kipindi cha kuelekea uchaguzi tofauti na kipindi lingine. Mwanongwa natamani uchaguzi uwe unafanyika kila baada...
  11. Torra Siabba

    KERO TARURA Tabora karabatini barabara ya Mwinyi, msisubiri mpaka maafa yatokee

    Wanajamvi ngoja nilibwage, Barabara inayotoka Kwenye mataa jirani na Stendi ya Mabasi kuelelekea Uwanja wa Alhasan Mwinyi ni imeharibika kwa kuwa na mashimo jambo ambalo linaleta adha kwa watumiaji Nimeshuhudia mara kadhaa watumiaji wa ile barabara ambao wengi ni waendesha baiskeli wanaokuwa...
  12. J

    Rais Samia aidhinisha zaidi ya billioni 39 kwa ajili ya miundombinu ya barabara Ilala

    RAIS SAMIA ATO ZAIDI YA BILLIONI 39 KWAAJILI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA ILALA. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ameipatia Wilaya ya Ilala zaidi ya Bilioni 39 kwaajili ya kutatua changamoto za miundombinu ya barabara amepeleka mradi wa DMDP na wakandarasi...
  13. Roving Journalist

    Rais Samia aipongeza AfDB kwa kuwezesha mkopo wa Tsh. Bilioni 630 za ujenzi Barabara ya Mbinga – Mbamba Bay (km 66)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameishukuru na kuipongeza Taasisi ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa kuwa Mdau mkubwa wa sekta ya Miundombinu nchini ambapo wamewezesha mkopo wa Shilingi Bilioni 630 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mbinga –...
  14. Roving Journalist

    David Kihenzile: Serikali inaboresha miundombinu ya barabara na madaraja ili kupunguza ajali za barabarani

    Serikali inaendelea na ujenzi wa miundombinu bora ya barabara na madaraja ya kisasa ili kupunguza ajali za barabarani ambazo zimekuwa zikikatisha uhai wa wananchi wengi. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, Agosti 29, 2024 wakati akifunga Maadhimisho ya Wiki ya Nenda...
  15. A

    KERO TANESCO wanachelewesha ujenzi wa barabara ya Nanenane-Tungi Morogoro kwa kushindwa kuondoa nguzo za umeme

    TANESCO hatuwaoni wakija kuondoa hizi nguzo na kuziweka pembeni kupisha UJENZI wa barabara wamekaa kimya na hamna wakusema waje kutoa hata viongozi wenyewe hawaongei chochote. Nini kinafanya wachelewe kuja kuzitoa hizi nguzo?
  16. Superbug

    Barabara ya Bigwa - Kisaki kile kinachofanyika Kibangile ndio uwekaji lami?

    Hii barabara inafanyiwa utani sana naambiwa kwasasa wameleta shindilia na boza huu ni utani sana kwa wananchi wa Jimbo hili. Pia soma > Barabara ya Bigwa - Kisaki Serikali mnawachukuliaje hawa Waluguru wa Morogoro Kusini? Babu Tale na Kalogeresi waachieni majimbo CHADEMA nyie hamtoshi
  17. A

    KERO Barabara ya Hombolo Dodoma ni mbaya sana, kila siku tunapigwa danadana kuwa itawekewa lami

    Jamii Forums habari, Tunaomba mtusaidie wakazi wa Dodoma, barabara ya Hombolo ni mbaya sana, Kila siku tumekuwa tukipigwa danadana kuwa inawekewa lami lakini hakuna kinachoendelea kwamba kuna chuo cha Serikali za mitaa, hospitali na bwawa lakini barabara iko ovyo sana.
  18. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Atoa Wito Watanzania Kulinda Miundombinu ya Barabara kwa Matumizi Endelevu

    RAIS SAMIA ATOA WITO WATANZANIA KULINDA MIUNDOMBINU YA BARABARA KWA MATUMIZI ENDELEVU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wasafirishaji wote nchini pamoja na Wananchi kuhakikisha wanalinda miundombinu ya barabara inayojengwa na Serikali...
  19. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Aeleza Jitihada za Kufungua Mkoa wa Katavi kwa Miundombinu ya Barabara

    RAIS SAMIA AELEZA JITIHADA ZA KUFUNGUA MKOA KATAVI KWA MIUNDOMBINU YA BARABARA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali inaendelea na jitihada mbalimbali za kufungua Mkoa wa Katavi kwa kuboresha miundombinu ikiwa ni pamoja na ujenzi wa...
  20. K

    MKURANGA KUNA UPIGAJI KWNYE MIUNDOMBINU YA BARABARA

    FIKIRIA BARABARA IMEJENGWA MWEZI WATANO HAPA VIKINDU MWEZI WASITA INAWEKEWA VIRAKA....KULIKUA NA LAMI NZURI IMETOLEWA IMEWEKWA MBAYA HADI UNASHANGAA KWANN WAMEIWEKA IO LAMI,VIONGOZI WASERIKALI WAPO NA MBUNGE YUPO......LAMI INAE VUMBI IO UTASEMA UNAPITA KONDOA...
Back
Top Bottom