Baada ya mtoto aliyekuwa anatoka shuleni kutumbukia mtoni wakati akivuka daraja, wananchi wa kitongoji cha Kilovoko kijiji cha Tandala wilayani Makete mkoani Njombe wameamua kufanya matengenezo ya eneo hilo ili lipitike kwa urahisi
Wananchi hao wakiendelea na matengenezo Februari 22, 2024...