Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ndugu Nape Nnauye, akizungumzia mafanikio ya safari ya ujumbe wa Rais Samia nchini Korea Kusini amesema kuwa...
Wenzetu wamepiga hatua kubwa kwenye miundombinu ya mawasiliano, hapa kwetu tunaendelea na uwekezaji, uwekezaji huo ni gharama...