miundombinu ya reli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yesu Anakuja

    Rais Samia akitoa neno moja tu kuhusu wanaohujumu SGR, hakuna atakayethubutu kuharibu tena

    Tumeinvest hela nyingi sana kwenye SGR, jana nimeona kuna watu wamekamatwa wanaiba nyaya, wahujumu uchumi wa wazi, kwa namna tulivyoingia garama, nilitegemea SAMIA atoe tamko moja tu la uhakika ili watanzania wote wasikie na walinde reli hii. Lakini kwa sababu ya mazoea Watanzania...
  2. Crocodiletooth

    Picha: Hujuma nzito katika miundombinu ya reli ya SGR

    Bado tuna safari ndefu mno. Pichani ni hujuma zinazofanyika kwenye miundombinu ya Reli ya Kisasa (SGR)
  3. K

    Watanzania wenzangu, chonde chonde tutunze treni ya umeme ili idumu

    Treni ya umeme imeanza safari yake ya kwanza kwenda Morogoro ikitokea Dar. Hili ni jambo la kushukuru na kuipongeza sana Serikali. Tumeona mara nyingi kitu kipya kikianza kwa mbwembwe na kwa huduma nzuri lakini baadaye huduma yake ikidorora kwa kasi kubwa. Treni ya umeme isifikie huko. Mifano...
Back
Top Bottom