Habarini,
Kuna tabia imekua ikinikera miaka nenda rudi.
Serikali inakazana kuunda miundo mbinu na kuifanyia finishing nzuri ili uliwe na mwonekano mzuri na kuvutia lakini baada tu ya mradi kuanza watu wasiojua uzuri na waliokosa ustaarabu wanaanza kubandika sticker za matangazo ya kampeni...