Tumeinvest hela nyingi sana kwenye SGR, jana nimeona kuna watu wamekamatwa wanaiba nyaya, wahujumu uchumi wa wazi, kwa namna tulivyoingia garama, nilitegemea SAMIA atoe tamko moja tu la uhakika ili watanzania wote wasikie na walinde reli hii.
Lakini kwa sababu ya mazoea Watanzania...