Ni jambo la kushangaza, hii nguzo iko hivi, siku ya nne inaisha, inaenda siku ya tano, nguzo hii imelala hivi! Je, wahusika wa kutatua dharura za miundombinu ya umeme mjini Bagamoyo hawajaona? Au je, hawajui umuhimu wa kurekebisha tatizo kama hili haraka?
Ushauri wangu: Si busara kusubiri...