Hello wana jamvi kama unataka kuongeza kipato chako nakukaribisha machine za kukamua juisi ya miwa inazipata kwetu
Sifa zake inakamua na kuchuja yenyewe ni machine kutoka China
Pia ulaji wa umeme ni mdogo sana
Gharama ya machine
1350000 tu nipigie kwa maelezo zaidi 0774150519
Napatikana...
Wakuu, naombeni ushauri tafadhari.
Nahitaji ushauri kwenye hizi 'side hustle'
Fenesi la kukata na kufunga kwenye makopo au miwa ya kufunga kwenye mifuko.
Ipi inatoka kwa haraka.
Asanteni sana
Ni mimi muuza magimbi +viazi.
Wakulima wa miwa wa bonde la Kilombero wanatarajiwa kunufaika na ubunifu sambamba na teknolojia za kisasa za kilimo zitakazooneshwa kupitia maonesho ya siku ya wakulima wa miwa Kilombero, yatakayofanyika kuanzia tarehe 10 hadi 12 Oktoba 2024.
Maonesho haya ya siku tatu yanaungwa mkono na...
Nauza mashine ya kukamua juisi ya miwa. Imetengenezwa sido. Inatumia umeme na imetumika kwa takribani mwezi mmoja. Ipo Kimara DSM
Inauzwa Tsh 700,000/
Phone: 0675336219
Mashine bado ipo wadau
Sera ya nchi yetu kwa wakulima ni KUWAWEZESHA ili wainuke kiuchumi.
Wakulima wa Kilombero wamelima miwa yao, wamevuna miwa yao na hwana pa kuuzia. Viwanda vya sukari vimejaza sukari matani na matani hawana pa kuuzia kisa sukari iliyoingizwa bila KODI imetapakaa mitaani.
Sukari imeagizwa...
Hello tunauza mashine za kukamua juisi ya miwa
Sifa kuu inakamua na kuchuja yenyewe Huna haja ya kusumbuka
Pia Hutumia Umeme kidogo karibu sana
Tupo kariakoo mtaa wa masasi na ndanda
0774150519
Nimeenda kumsalimia mshikaji wangu kajenga nje ya mji kidogo, tulikua kama watatu, tulipofika story zikaendelea jamaa tukawa tunamsifia katengeneza garden amazing, akaenda kukata miwa tutafune huku tunaenjoy hali ya hewa, miwa ilikua mitamu balaa wenzangu wakawa wanaisifia miwa kwamba ina maji...
Habari za weekend, Wakuu.
Husika na mada tajwa hapo juu, Waswahili wanasema kimfaacho mtu chake,
Ninauza iyo machine ya kukamulia Juice ya MIWA, ipo Tanga kwa Bei ya 850K,
Ipo katika hali nzuri inatumia umeme, na toka nimeinunua nimeitumia kwa mwezi mmoja Tu,
Karibu Sana.
Mashine ya kukamua na kuchuja juisi ya miwa inauzwa Ipo Mbeya Mjini popote inatumwa
Bei yake: 1.6 M.
📞📞 & Whasap 0757687358
Whasap & call 0757687358
Specification zake
1.size 48*38*78
2 voltage 220/50hz
3. Three crushing rollers
(Stainless)
4. Ipo na 3HP electric...
Bei 1,180,000/=
mashine ni mpya
Mashine ya kukamua juisi ya miwa (Ya umeme)
🔴Ina uzito 65kg
🔴Inatumia umeme wa kawaida wa majumbani 220V, motor 0.75KW
🔴ukubwa wake 430*350*920mm
🔴material yake ni stainless steel inayodumu kwa muda mrefu
🔴Inaweza kukamua juisi 300kg kwa saa
🔴bei 1,180,000/=
Kwa...
Uongozi wa kiwanda cha Mtibwa Sugar umesema kuwa miwa mingi imeharibika na haifai tena kwa uzalishaji wa sukari hali inayopelekea bidhaa hiyo kuadimika.
Mvua juu ya wastani zinazoendelea kunyesha nchini zimesababisha sehemu kubwa ya mashamba ya miwa kujaa maji na kufanya kazi ya uvunaji wa miwa...
Waziri Dkt. Kijaji: Ongezeni Kilimo cha Miwa kwa Wingi
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewasihi wananchi na wakulima wa miwa wa Kata ya Magugu Wilaya ya Babati Mkoani Manyara kuongeza kilimo cha miwa kwa wingi ili kuweza kulisha kiwanda cha Sukari cha Manyara .
Dkt...
Habari wan JF Natumai ni wazima,
Nilikua nahitaji mashine ya kukamulia juice ya umeme je naweza kupata wapi na kwa bei gani.
Naomba kwa mwenye kufahamu pia mwenye kujua connection ya miwa inakuwa naomba kufahamu.🙏
WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI - LIMENI MIWA KWA WINGI, SOKO LA MIWA LIMEKUWA KUBWA
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewataka wakulima wa miwa kuendelea kulima miwa kwa wingi kwani soko la miwa limekuwa kubwa kutokana na ongezeko la viwanda vya sukari nchini.
Dkt. Kijaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.