miwa

  1. E

    Natafuta mtengenezaji wa juice ya miwa

    Nipo Kitunda,Ilala,Dar-es-Salaam Namba:0685 069 818
  2. INAUZWA Mashine ya kukamua juisi ya miwa zinauzwa

    Hello wana jamvi kama unataka kuongeza kipato chako nakukaribisha machine za kukamua juisi ya miwa inazipata kwetu Sifa zake inakamua na kuchuja yenyewe ni machine kutoka China Pia ulaji wa umeme ni mdogo sana Gharama ya machine 1350000 tu nipigie kwa maelezo zaidi 0774150519 Napatikana...
  3. E

    Chimbo la miwa kwa bei rafiki

    Wakuu Nafanya hii mishe, wenye kufahamu machimbo yawekeni hapa Karibuni kwa uzoefu
  4. E

    Naombeni ushauri fenesi vs miwa ya kufunga kwenye mifuko ipi inatoka kwa haraka

    Wakuu, naombeni ushauri tafadhari. Nahitaji ushauri kwenye hizi 'side hustle' Fenesi la kukata na kufunga kwenye makopo au miwa ya kufunga kwenye mifuko. Ipi inatoka kwa haraka. Asanteni sana Ni mimi muuza magimbi +viazi.
  5. N

    Wakulima wa miwa kilombero kunufaika na ubunifu kupitia maonesho ya teknolojia wilayani humo

    Wakulima wa miwa wa bonde la Kilombero wanatarajiwa kunufaika na ubunifu sambamba na teknolojia za kisasa za kilimo zitakazooneshwa kupitia maonesho ya siku ya wakulima wa miwa Kilombero, yatakayofanyika kuanzia tarehe 10 hadi 12 Oktoba 2024. Maonesho haya ya siku tatu yanaungwa mkono na...
  6. J

    Nauza mashine ya kukamua juisi ya miwa. Imetengenezwa sido. Inatumia umeme na imetumika kwa takribani mwezi mmoja. Ipo Kimara DSM

    Nauza mashine ya kukamua juisi ya miwa. Imetengenezwa sido. Inatumia umeme na imetumika kwa takribani mwezi mmoja. Ipo Kimara DSM Inauzwa Tsh 700,000/ Phone: 0675336219 Mashine bado ipo wadau
  7. K

    Kilio cha Wakulima wa miwa Kilombero

    Sera ya nchi yetu kwa wakulima ni KUWAWEZESHA ili wainuke kiuchumi. Wakulima wa Kilombero wamelima miwa yao, wamevuna miwa yao na hwana pa kuuzia. Viwanda vya sukari vimejaza sukari matani na matani hawana pa kuuzia kisa sukari iliyoingizwa bila KODI imetapakaa mitaani. Sukari imeagizwa...
  8. INAUZWA Tunauza Mashine za kukamua juisi ya miwa

    Hello tunauza mashine za kukamua juisi ya miwa Sifa kuu inakamua na kuchuja yenyewe Huna haja ya kusumbuka Pia Hutumia Umeme kidogo karibu sana Tupo kariakoo mtaa wa masasi na ndanda 0774150519
  9. Je ni kweli miwa inayooteshwa pembeni ya bafu ina madhara yoyote?

    Nimeenda kumsalimia mshikaji wangu kajenga nje ya mji kidogo, tulikua kama watatu, tulipofika story zikaendelea jamaa tukawa tunamsifia katengeneza garden amazing, akaenda kukata miwa tutafune huku tunaenjoy hali ya hewa, miwa ilikua mitamu balaa wenzangu wakawa wanaisifia miwa kwamba ina maji...
  10. INAUZWA Mashine ya kukamua juice ya miwa inauzwa

    Habari za weekend, Wakuu. Husika na mada tajwa hapo juu, Waswahili wanasema kimfaacho mtu chake, Ninauza iyo machine ya kukamulia Juice ya MIWA, ipo Tanga kwa Bei ya 850K, Ipo katika hali nzuri inatumia umeme, na toka nimeinunua nimeitumia kwa mwezi mmoja Tu, Karibu Sana.
  11. S

    INAUZWA Mashine kusaga juis ya miwa model YF L80

    Mashine n mpya Npe 1.4M Kujieleza 📞📞07
  12. S

    INAUZWA Mashine ya miwa mpya na ya kisasa zaidi

    Mashine ya kukamua na kuchuja juisi ya miwa inauzwa Ipo Mbeya Mjini popote inatumwa Bei yake: 1.6 M. 📞📞 & Whasap 0757687358 Whasap & call 0757687358 Specification zake 1.size 48*38*78 2 voltage 220/50hz 3. Three crushing rollers (Stainless) 4. Ipo na 3HP electric...
  13. INAUZWA Mashine ya kukamua juisi ya miwa (inatumia umeme)

    Bei 1,180,000/= mashine ni mpya Mashine ya kukamua juisi ya miwa (Ya umeme) 🔴Ina uzito 65kg 🔴Inatumia umeme wa kawaida wa majumbani 220V, motor 0.75KW 🔴ukubwa wake 430*350*920mm 🔴material yake ni stainless steel inayodumu kwa muda mrefu 🔴Inaweza kukamua juisi 300kg kwa saa 🔴bei 1,180,000/= Kwa...
  14. Mtibwa Sugar wadai Miwa imeharibika sana haifai kwa uzalishaji

    Uongozi wa kiwanda cha Mtibwa Sugar umesema kuwa miwa mingi imeharibika na haifai tena kwa uzalishaji wa sukari hali inayopelekea bidhaa hiyo kuadimika. Mvua juu ya wastani zinazoendelea kunyesha nchini zimesababisha sehemu kubwa ya mashamba ya miwa kujaa maji na kufanya kazi ya uvunaji wa miwa...
  15. Juisi ya miwa husafisha figo, kibofu cha mkojo, mzunguko wa damu na kutibu U.T.I

    Hivi kuna ukweli ndani yake ama tunapigwa tu porojo ili tunywe kwa wingi wapate hela?
  16. Waziri Dkt. Kijaji: Ongezeni Kilimo cha Miwa kwa Wingi

    Waziri Dkt. Kijaji: Ongezeni Kilimo cha Miwa kwa Wingi Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewasihi wananchi na wakulima wa miwa wa Kata ya Magugu Wilaya ya Babati Mkoani Manyara kuongeza kilimo cha miwa kwa wingi ili kuweza kulisha kiwanda cha Sukari cha Manyara . Dkt...
  17. Nahitaji mashine ya kukamulia juice ya umeme. Je, naweza kupata wapi?

    Habari wan JF Natumai ni wazima, Nilikua nahitaji mashine ya kukamulia juice ya umeme je naweza kupata wapi na kwa bei gani. Naomba kwa mwenye kufahamu pia mwenye kujua connection ya miwa inakuwa naomba kufahamu.🙏
  18. Ni kweli kuoa mke mrembo ni sawa na kuwa na shamba la miwa karibu na shule ya msingi?

    Nauliza tu wadau..si kwa ubaya...Nick wa pili alitumia muda mwingi sana kumnadi mkewe mtandaoni kwamba ni mrembo.Nahisi Kwa sasa anajutia sana
  19. Waziri Ashatu Kijaji: Limeni Miwa kwa Wingi Soko la Miwa Limekuwa Kubwa

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI - LIMENI MIWA KWA WINGI, SOKO LA MIWA LIMEKUWA KUBWA Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewataka wakulima wa miwa kuendelea kulima miwa kwa wingi kwani soko la miwa limekuwa kubwa kutokana na ongezeko la viwanda vya sukari nchini. Dkt. Kijaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…