Habari zenu,
Naomba kuuliza kama kuna kuna anayejua shida hii ya miwani
Nimemnunulia mtoto MIWANI lakini kavaa wiki tu leo hii Anavaa umekuwa kubwa yaani inamvuka has wa akiinama., nitumie njia gani iweze kukaa vizuri bila kuvuka?
Wakuu natumai huku kunamadokta naumwa na kichwa pembeni kwenye misuli ya macho hasa ninapotumia computer, simu na n.k
Yani kichwa kinauma sana ila kuona naona fresh tu niliwahi pima nikaonekana nipo poa kwenye kuona ila mwanga unaniumiza sana
Sina miwani na kazi zangu siwezi kwepa computer...
Hello,
Miwani hii pichani, niliichukuwa Ili niivae kama fashion, maana ililetwa na donors Kwa NGO niliyokuwa nafanya kazi
Sasa one day nilizijalibisha, aisee kama huna shida ya macho huwezi kuzivaa ukatembea umbali mrefu, zinaonekana Zina lens Kali.
Kwa dakitari wa macho, hizi ni miwani gani...
Kama wewe ni mpenzi wa Fashion naimani utakuwa uliiona Miwani aliyoivaa MoDewji siku ambayo alikuwa anaongea na mashabiki wa Simba Sc kufuatia sintofahamu ya baadhi ya wajumbe kujiengua kwenye nafasi zao.
Miwani aliyoivaa Mo inaitwa Alexander Mcqueen AM0372S-001 ni custom made with Diamond...
Ni miwani aina ya Alexander Mcqueen AM0372S-001 ambayo ni custom made with Diamond plated. Bei yake ni Euro 243 ambazo ni sawa na pesa ya madafu Shilingi 688,920/=
- Hutakiwi kuikosa miwani hii, miwani hii ni PHOTOCHROMIC, inabadilika na kuwa nyeusi kila unapopigwa na mwanga wa jua na kuweza kukukinga na mwanga mkali wa jua.
- Itakukinga na mionzi mikali ya KOMPYUTA, SIMU pamoja na TV inayopelekea kichwa kuuma chenyewe, Macho kutoa machozi na kuwasha...
Umoja wa Wazawa wa Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya, waishio ndani na nje ya wilaya hiyo Kyela Ibasa Festival, wametoa msaada wa mafuta ya kupakaa na miwani kwa ajili ya watu wenye Ualbino.
Msaada huo umekabidhiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Jamii, Vanessa Nyesyenge kwa niaba ya wanaibasa ambao kwa...
Habarini ndugu,
Nipo macho mpaka muda huu nashindwa kulala macho yanauma misuli ya macho inavuta nkifumba macho nilale yanauma naskia kizunguzungu kichwa kinauma mwili unaishiwa nguvu, hii hali imenipata baada ya kubadilisha miwani.
Nilienda hospital private pale Morroco nataka niende hospital...
Friends and Enemies,
JPM Marehem, alikuwa ana Msemo wake pendwa ''Turichereweshwa Sana'' na hawa wanaojiita wanademokrasia na watetezi wa Haki za binadamu,nakumbuka pia katika suala la mradi wa bwawa la Nyerere alizungumza pia kuwananga wale waliokawa wanampinga katika mradi ule Kwa hoja ya...
Wakuu.
Huko Instagram kumezagaa kurasa zinazotangaza kuuzwa kwa miwani ya matumizi mbalimbali lakini hasa kuna ile inayobainishwa kuwa inadhibiti miali itokanayo na vioo vya computer.
Je, wanaofanya biashara hii wamethibitisha kwenye mamlaka za afya kuwa bidhaa zao zinafaa kwa afya ya macho?
Miwani ya Jua hupunguza athari za mwanga mkali wa jua, uchovu wa macho, na kulinda tishu za macho dhidi ya mionzi hatari ya jua.
Kwa Rubani (kama jadi) pia humlinda dhidi ya miale mikali ya Jua anapokuwa angani na zaidi ya hayo, kuepuka kuathiriwa na uchafu unaoweza kuruka kutokana na mgongano...
Jaman mtambue kua kuvaa miwani ni tiba kama tiba nyingine,ni kama wale wanaovaa hearing aids kuwasaidia kusikia vzuri
Lakini ni kama automatically kuvaa miwani mme connect na akili au IQ na hii niliiona tangu nasoma
Sisi ni watu wa kawaida kama nyie tu,tunapata shida sana huko kwenye...
Halafu mlivyo Wapuuzi yaani Watu mmeshawaumiza halafu mnawaomba tena eti kama kuna aliyeumizwa kama inavyoenezwa ajitokeze ili mkamtibie Hiospitalini kwani Serikali hii ni Sikivu. Hivi kama Serikali ingekuwa Sikivu Wananchi hao Wangenyanyasika hivyo kwa Vipigo, Kujeruhiwa na hata Kuuwawa...
Baadhi ya Watanzania wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania Nchini #Marekani na kufanya maandamano wakiwasilisha madai mbalimbali.
Baadhi ya madai yao waliyoandika kwenye mabango yao ni Mabadiliko ya Katiba, kuachiwa huru kwa Wakili Peter Madeleka pamoja na kufukuzwa Bungeni Wabunge 19...
airport
dada
diaspora
jnia
kaskazini
katiba
katiba mpya
kudai
kusoma
mabango
marekani
miwani
mpya
mtu
mwigulu
mwigulu nchemba
nchini
picha
tanzania
ubalozi
usa
waandamana
wabongo
watanzania
Tetesi zinaonyesha kampuni ya Google ipo mbioni kuingia katika soko la Miwani za AR na imeanza majaribio ya kutengeneza AR Glasses zake.
Mwaka jana tuliona Snapchat, Ray Ban, Meta, TikTok, Xiaomi, Oppo na Huawei zilionyesha Smart Glasses mpya ambazo zina uwezo wa Augmented Reality. Apple pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.