miwani ya macho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wavaaji wa miwani ya macho ni wajuaji (much know)

    Yaani wote ninaowafahamu wako hivyo. Sasa nawachunguza nisiowajua ili nigundue kitu
  2. Nina miwani ya macho hapa naitoa bure. Ina kipimo cha Myopia -1.00. Sina uhakika kama ni ya macho, nilikosea kuagiza

    Siuzi Hii miwani naitoa bure nilikosea kuagiza nikajikuta nimeagiza ya macho kipimo chake ni myopia -1.00 hivo mwenye kipimo hicho anitafute nimpe bure nipo Dar es Salaam 0657977457
  3. Hii ni miwani aina gani na inatibu tatizo gani la macho?

    Hello, Miwani hii pichani, niliichukuwa Ili niivae kama fashion, maana ililetwa na donors Kwa NGO niliyokuwa nafanya kazi Sasa one day nilizijalibisha, aisee kama huna shida ya macho huwezi kuzivaa ukatembea umbali mrefu, zinaonekana Zina lens Kali. Kwa dakitari wa macho, hizi ni miwani gani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…