miwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Nimemnunulia mtoto Miwani lakini kavaa wiki tu lakini leo hii imetanuka

    Habari zenu, Naomba kuuliza kama kuna kuna anayejua shida hii ya miwani Nimemnunulia mtoto MIWANI lakini kavaa wiki tu leo hii Anavaa umekuwa kubwa yaani inamvuka has wa akiinama., nitumie njia gani iweze kukaa vizuri bila kuvuka?
  2. Miwani gani sahihi yakutumia wakati wa matumizi ya simu, computer na vifaa vingine?

    Wakuu natumai huku kunamadokta naumwa na kichwa pembeni kwenye misuli ya macho hasa ninapotumia computer, simu na n.k Yani kichwa kinauma sana ila kuona naona fresh tu niliwahi pima nikaonekana nipo poa kwenye kuona ila mwanga unaniumiza sana Sina miwani na kazi zangu siwezi kwepa computer...
  3. Kwa nini wanawake wa mjini huwa wanapenda kuvaa miwani oversize?

    Huu mtindo wa kuvaa miwani mikubwa iliyopitiliza(oversize) kwa wanawake wengi wa mjini huwa una maana gani?
  4. Hii ni miwani aina gani na inatibu tatizo gani la macho?

    Hello, Miwani hii pichani, niliichukuwa Ili niivae kama fashion, maana ililetwa na donors Kwa NGO niliyokuwa nafanya kazi Sasa one day nilizijalibisha, aisee kama huna shida ya macho huwezi kuzivaa ukatembea umbali mrefu, zinaonekana Zina lens Kali. Kwa dakitari wa macho, hizi ni miwani gani...
  5. Hii ndio thamani ya miwani ya Mo Dewji

    Kama wewe ni mpenzi wa Fashion naimani utakuwa uliiona Miwani aliyoivaa MoDewji siku ambayo alikuwa anaongea na mashabiki wa Simba Sc kufuatia sintofahamu ya baadhi ya wajumbe kujiengua kwenye nafasi zao. Miwani aliyoivaa Mo inaitwa Alexander Mcqueen AM0372S-001 ni custom made with Diamond...
  6. Miwani ya Mo Dewji jana ina thamani ya Laki 6

    Ni miwani aina ya Alexander Mcqueen AM0372S-001 ambayo ni custom made with Diamond plated. Bei yake ni Euro 243 ambazo ni sawa na pesa ya madafu Shilingi 688,920/=
  7. Miwani ya kuzuia mionzi hatari ya kompyuta, simu na tv

    - Hutakiwi kuikosa miwani hii, miwani hii ni PHOTOCHROMIC, inabadilika na kuwa nyeusi kila unapopigwa na mwanga wa jua na kuweza kukukinga na mwanga mkali wa jua. - Itakukinga na mionzi mikali ya KOMPYUTA, SIMU pamoja na TV inayopelekea kichwa kuuma chenyewe, Macho kutoa machozi na kuwasha...
  8. Sasa hutavaa miwani tena hii hapa dawa ya kupoteza kuona imeshagunduliwa na mtanzania mwenzetu wazungu waikubali

    Sasa hutavaa miwani tena hii hapa dawa ya kupoteza kuona imeshagunduliwa na mtanzania mwenzetu wazungu waikubali. Source ya hii habari...
  9. P

    Naombeni msaada wakuu kufahamu hii miwani lens gani

    Msaada wakuu naomba kufahamu hii miwani ni lens gani na bei yake Kwa anauefahamu
  10. Kyela Ibasa Festival yatoa msaada wa mafuta na miwani kwa wenye Ualbino

    Umoja wa Wazawa wa Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya, waishio ndani na nje ya wilaya hiyo Kyela Ibasa Festival, wametoa msaada wa mafuta ya kupakaa na miwani kwa ajili ya watu wenye Ualbino. Msaada huo umekabidhiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Jamii, Vanessa Nyesyenge kwa niaba ya wanaibasa ambao kwa...
  11. Zoom miwani ya Mu7

    Utakachokiona Siri yako
  12. M

    Baada ya kubadilisha miwani, macho ndo yamezidi kuuma

    Habarini ndugu, Nipo macho mpaka muda huu nashindwa kulala macho yanauma misuli ya macho inavuta nkifumba macho nilale yanauma naskia kizunguzungu kichwa kinauma mwili unaishiwa nguvu, hii hali imenipata baada ya kubadilisha miwani. Nilienda hospital private pale Morroco nataka niende hospital...
  13. Hayati Magufuli aliona bora awavalie miwani ya mbao afanye kazi, wapinzani wakamuita ni dikteta, Rais Samia piga kazi tusizidi kuchelewa

    Friends and Enemies, JPM Marehem, alikuwa ana Msemo wake pendwa ''Turichereweshwa Sana'' na hawa wanaojiita wanademokrasia na watetezi wa Haki za binadamu,nakumbuka pia katika suala la mradi wa bwawa la Nyerere alizungumza pia kuwananga wale waliokawa wanampinga katika mradi ule Kwa hoja ya...
  14. I

    utitiri wa biashara ya miwani

    Wakuu. Huko Instagram kumezagaa kurasa zinazotangaza kuuzwa kwa miwani ya matumizi mbalimbali lakini hasa kuna ile inayobainishwa kuwa inadhibiti miali itokanayo na vioo vya computer. Je, wanaofanya biashara hii wamethibitisha kwenye mamlaka za afya kuwa bidhaa zao zinafaa kwa afya ya macho?
  15. Kwanini Marubani hupenda kuvaa miwani ya jua?

    Miwani ya Jua hupunguza athari za mwanga mkali wa jua, uchovu wa macho, na kulinda tishu za macho dhidi ya mionzi hatari ya jua. Kwa Rubani (kama jadi) pia humlinda dhidi ya miale mikali ya Jua anapokuwa angani na zaidi ya hayo, kuepuka kuathiriwa na uchafu unaoweza kuruka kutokana na mgongano...
  16. KWANINI WATU WANAOVAA MIWANI WANACHUKULIWA HIVI!?

    Jaman mtambue kua kuvaa miwani ni tiba kama tiba nyingine,ni kama wale wanaovaa hearing aids kuwasaidia kusikia vzuri Lakini ni kama automatically kuvaa miwani mme connect na akili au IQ na hii niliiona tangu nasoma Sisi ni watu wa kawaida kama nyie tu,tunapata shida sana huko kwenye...
  17. Ukiona Mtu anatolea Ufafanuzi 'Dhambi' fulani iliyotendwa nao huku kavalia Miwani 'myeusi' jua ni 'Muongo' sana

    Halafu mlivyo Wapuuzi yaani Watu mmeshawaumiza halafu mnawaomba tena eti kama kuna aliyeumizwa kama inavyoenezwa ajitokeze ili mkamtibie Hiospitalini kwani Serikali hii ni Sikivu. Hivi kama Serikali ingekuwa Sikivu Wananchi hao Wangenyanyasika hivyo kwa Vipigo, Kujeruhiwa na hata Kuuwawa...
  18. Watanzania waandamana katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani

    Baadhi ya Watanzania wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania Nchini #Marekani na kufanya maandamano wakiwasilisha madai mbalimbali. Baadhi ya madai yao waliyoandika kwenye mabango yao ni Mabadiliko ya Katiba, kuachiwa huru kwa Wakili Peter Madeleka pamoja na kufukuzwa Bungeni Wabunge 19...
  19. Google kutengeneza Miwani Janja (Smartglasses)

    Tetesi zinaonyesha kampuni ya Google ipo mbioni kuingia katika soko la Miwani za AR na imeanza majaribio ya kutengeneza AR Glasses zake. Mwaka jana tuliona Snapchat, Ray Ban, Meta, TikTok, Xiaomi, Oppo na Huawei zilionyesha Smart Glasses mpya ambazo zina uwezo wa Augmented Reality. Apple pia...
  20. M

    Msaada: Natafuta Miwani ya Kuogelea Wandugu

    Hello guys, kuna yeyote mwenye taarifa yeyote juu ya sehemu naweza pata miwani ya kuogelea mtu mzima kwa hapa Dar.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…