Habarini Madaktari na wafamasia wa humu Jukwaa la Afya. Nina changamoto moja imejitokeza ni kama miezi 4 au 5 imepita.
Kwanza nilipata muwasho mkali sana huku ukeni, kisha nikaja ona vipele vidogovidogo vimetokeza. Ule muwasho nikawa naukuna lakini mwisho wa siku palepale nilipojikuna napata...