Farajollah Mizani (Persian: فرجالله میزانی), also known by pseudonym and pen name Javanshir (Persian: جوانشیر, lit. 'young lion'), was an Iranian communist and a senior Tudeh Party member.
Kuna suala linawaumiza kichwa sana madereva walio wengi wanaondesha vyombo vya moto vyenye uzito kuanzia tani 3.5 au zaidi,
Labda nianze kwa kusema mizani mingi sana Tanzania iliwekwa sensa na foleni ktk mizani kwa kiasi kikubwa ilipungua, ila baada ya kifo cha mpendwa wetu Hayati Magufuli...
Freeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4
Leo kipindi kinaongozwa na mwanamama. Jina lake sijalinasa. Yupo katibu wa tamisemi ndugu Ndunguru, yupo mtu wa TAKUKURU na naibu msajili
Mada inahusiana na uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Naamini kabisa kuwa aidha Dr Ryoba kakimbia kipindi kuepuka lawama au kaambiwa asiendeshe kipindi...
BASHUNGWA AIAGIZA TANROADS KUFUNGA MIZANI MITATU YA KUPIMA UZITO WA MAGARI TUNDUMA.
📌 Ashuhudia foleni kubwa ya Malori Tunduma
📌 Atoa mwezi mmoja ujenzi wa kituo cha maegesho Chimbuya kukamilishwa
📌 Aagiza upembuzi kufanyika ili kujenga barabara ya Mchepuo, magari yanapita kwa kupokezana...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameuelekeza Wakala ya Barabara (TANROADS) kufunga mizani mitatu inayohamishika (mobile weighbridge) ya kudhibiti uzito wa magari katika eneo la Tunduma ili kuongeza kasi ya upimaji wa magari na kupunguza msongamano wa malori yanayosubiria kwa muda mrefu...
WAHENGA WALIOBAHATIKA KUPIMWA UZITO KWA MIZANI HIYO? HAPO NI KISHAPU SHINYANGA. INAKUWA NI SIKU MAALUM YA KUPIMWA UZITO,ENEO KWA ENEO. MIZANI INAHAMISHWA.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Albert Msovera amewataka Wafanyakazi walio katika vituo vya mizani kuhakikisha wanasimamia sheria ya uthibiti ubora wa barabara ya mwaka 2016 ya Afrika mashariki na kanuni zake za mwaka 2018 zinazingatiwa ipasavyo ili kuendelea kutunza barabara zilizopo nchini...
Mizani aina zote
⚖ Njoo upate mizani aina mbali mbali kulingana na matumizi yako.
Ipo mizani digital & analog.
⚖️Inafaa kupima wanyama wazima kama kuku, nguruwe, mbuzi na Ng'ombe. Pia nyama, mazao, viungo jikoni, matumizi ya dukani, nk.
⚖ Usisite kutujulisha unataka mzani aina gani ili upate...
Ni nini kinasababisha Wauza gesi ya Kupikia kutokuwa na Mizani pamoja kuwepo kwa matamko yasiyo tekelezwa mara kwa mara?
Gesi tunauziwa ujazo ambao siyo kwa Bei ile ile hili ni tatizo kubwa kwa Wasambazaji na Wauzaji wa Gesi.
Waziri wa Nishati hii hali unaichukulia vipi?
Kwa kifupi ujazo...
Habari zenu wapendwa! Nachukua wasaha huu kuwashirikisha mtazamo wangu nakupenda kusikia kutoka kwenu Kuhusu Maisha.
Nimekuwa najiuliza hivi kama ningejikuta duniani Niko peke yangu tu. Ningeishije, je ningetamani kuendelea kuishi hivyo mpweke?
Hili swali ni gumu sana lkn maisha yanakuwa na...
Wanafunzi kutoka Chuo cha Ufundi Arusha (Arusha Technical College ATC) wamekuja na uvumbuzi utakaotumia takataka karatasi katika ujenzi wa barabara.
Haijaishia hapo tu, ila pia kutakua na mizani isioonekana chini ya izo barabara za makaratasi, na pembeni hakutakua na nguzo za kupitisha umeme...
Mimi nataka fungua nafaka jumla ila nashangaa wenzangu kila kona wana mzanii ile mikubwa kama hii.
Sas nilikuwa nauliza ya digital haifai kwani kama hii kupimia magunia ya kilo mia.
Wakuu hapa Makambako Kuna mzani wa Magari makubwa, kwa kweli hii mezani imewekwa eneo la ovyo sana,, eneo ni finyu halina mzunguko mzuri wa magari,
Mabasi, magari madogo na Malory yanaishia kuviziana tu ili yapishane,, hii inaweza kupelekea ajali kabisa,,
Wahusika sijui(TANROAD) fanyeni...
Habari wakuu,
Nauza mizani used ni nzito haina kipengele ina mawe yote
Imethibitishwa na wakala wa vipimo Tanzania
Ipo wilaya ya Hai
110k tu
0718569091
Wakuu naomba msaada wenu.
Natafuta mzani mdogo wa battery wa kupima uzito kwa ajili ya mgogwa kwa jina la kibiashara inaitwa bathroom scale.
Tafadhali nisaidie kunijulisha ni maduka yapo ya nauza hizo bidhaa hapa Kariakoo au hapa Dar es Salaam.
Leo nimeguswa niandike kidogo kuhusu vipimo
Kuna baadhi ya wafanyabiashara wamekuwa wanapunja watu kwa maksudi kabisa wakiwemo masikini kupitia vipimo mbali mbali kwa;
Kuharibu mizani au yale mawe ya kupimia
Kubonyeza ndoo au galoni za kupimia mazao
Kuharibu vipimo vya vimiminika nk
Hilo la...
Takwimu nyingi sana zimefanyika kuonesha idadi ya wasomi wenye sifa za kupata ajira zimeongezeka kwa kasi kubwa sana mwaka hadi mwaka na hii imepelekea awsomi kuwa wengi sana mitaani huku idadi ya wanaopata ajira za kudumu au za muda mfupi katika serikali kuwa ni chache kulingana na idadi ya...
Kuna wapenzi mliokutana mizani ya mapenzi iko sawa na mnashidana kupendana zaidi?
Imagine kuna mdada unampenda sana lakini yeye kama haelewi how deep you're au anaelewa ila anachukulia for granted.
Wakati huo huo, kuna mdada/wadada wanatamani sana kua na wewe, wanaonesha jitihada lakini we...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.