mizani

Farajollah Mizani (Persian: فرج‌الله میزانی‎), also known by pseudonym and pen name Javanshir (Persian: جوانشیر‎, lit. 'young lion'), was an Iranian communist and a senior Tudeh Party member.

View More On Wikipedia.org
  1. Mizani yote ya kupima magari asilimia kubwa sensor zinazimwa makusudi

    Kuna suala linawaumiza kichwa sana madereva walio wengi wanaondesha vyombo vya moto vyenye uzito kuanzia tani 3.5 au zaidi, Labda nianze kwa kusema mizani mingi sana Tanzania iliwekwa sensa na foleni ktk mizani kwa kiasi kikubwa ilipungua, ila baada ya kifo cha mpendwa wetu Hayati Magufuli...
  2. F

    Ukimsikiliza Mbowe utagundua kuwa sio mtu wa kuwekwa kwenye mizani moja na akina Lissu

    Freeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4
  3. Kipindi cha Mizani TBC kwa nini leo Novemba 20, 2024 Dkt. Ryoba hajakiongoza?

    Leo kipindi kinaongozwa na mwanamama. Jina lake sijalinasa. Yupo katibu wa tamisemi ndugu Ndunguru, yupo mtu wa TAKUKURU na naibu msajili Mada inahusiana na uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Naamini kabisa kuwa aidha Dr Ryoba kakimbia kipindi kuepuka lawama au kaambiwa asiendeshe kipindi...
  4. Bashungwa Aiagiza TANROADS Kufunga Mizani Mitatu ya Kupima Uzito wa Magari Tunduma

    BASHUNGWA AIAGIZA TANROADS KUFUNGA MIZANI MITATU YA KUPIMA UZITO WA MAGARI TUNDUMA. 📌 Ashuhudia foleni kubwa ya Malori Tunduma 📌 Atoa mwezi mmoja ujenzi wa kituo cha maegesho Chimbuya kukamilishwa 📌 Aagiza upembuzi kufanyika ili kujenga barabara ya Mchepuo, magari yanapita kwa kupokezana...
  5. Waziri Bashungwa aiagiza TANROADS kufunga mizani mitatu ya kupima uzito wa magari Tunduma

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameuelekeza Wakala ya Barabara (TANROADS) kufunga mizani mitatu inayohamishika (mobile weighbridge) ya kudhibiti uzito wa magari katika eneo la Tunduma ili kuongeza kasi ya upimaji wa magari na kupunguza msongamano wa malori yanayosubiria kwa muda mrefu...
  6. Wahenga waliobahatika kupimwa uzito kwa mizani hiyo

    WAHENGA WALIOBAHATIKA KUPIMWA UZITO KWA MIZANI HIYO? HAPO NI KISHAPU SHINYANGA. INAKUWA NI SIKU MAALUM YA KUPIMWA UZITO,ENEO KWA ENEO. MIZANI INAHAMISHWA.
  7. Watumishi wa Vituo vya Mizani wametakiwa kusimamia Sheria za utunzaji wa barabara

    Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Albert Msovera amewataka Wafanyakazi walio katika vituo vya mizani kuhakikisha wanasimamia sheria ya uthibiti ubora wa barabara ya mwaka 2016 ya Afrika mashariki na kanuni zake za mwaka 2018 zinazingatiwa ipasavyo ili kuendelea kutunza barabara zilizopo nchini...
  8. INAUZWA Mizani ya kila aina inapatikana

    Mizani aina zote ⚖ Njoo upate mizani aina mbali mbali kulingana na matumizi yako. Ipo mizani digital & analog. ⚖️Inafaa kupima wanyama wazima kama kuku, nguruwe, mbuzi na Ng'ombe. Pia nyama, mazao, viungo jikoni, matumizi ya dukani, nk. ⚖ Usisite kutujulisha unataka mzani aina gani ili upate...
  9. A

    Mizani na Gesi

    Ni nini kinasababisha Wauza gesi ya Kupikia kutokuwa na Mizani pamoja kuwepo kwa matamko yasiyo tekelezwa mara kwa mara? Gesi tunauziwa ujazo ambao siyo kwa Bei ile ile hili ni tatizo kubwa kwa Wasambazaji na Wauzaji wa Gesi. Waziri wa Nishati hii hali unaichukulia vipi? Kwa kifupi ujazo...
  10. Mizani ya maisha, kila mtu ana umuhimu

    Habari zenu wapendwa! Nachukua wasaha huu kuwashirikisha mtazamo wangu nakupenda kusikia kutoka kwenu Kuhusu Maisha. Nimekuwa najiuliza hivi kama ningejikuta duniani Niko peke yangu tu. Ningeishije, je ningetamani kuendelea kuishi hivyo mpweke? Hili swali ni gumu sana lkn maisha yanakuwa na...
  11. Wanafunzi wa ATC waja na uvumbuzi wa kujenga barabara za makaratasi, mizani isioonekana na wireless electricity

    Wanafunzi kutoka Chuo cha Ufundi Arusha (Arusha Technical College ATC) wamekuja na uvumbuzi utakaotumia takataka karatasi katika ujenzi wa barabara. Haijaishia hapo tu, ila pia kutakua na mizani isioonekana chini ya izo barabara za makaratasi, na pembeni hakutakua na nguzo za kupitisha umeme...
  12. Kwani ni lazima wauza nafaka wote jumla kuwa na mizani ile kubwa ya bei kubwa, hizi za digital hazifai kupimia magunia?

    Mimi nataka fungua nafaka jumla ila nashangaa wenzangu kila kona wana mzanii ile mikubwa kama hii. Sas nilikuwa nauliza ya digital haifai kwani kama hii kupimia magunia ya kilo mia.
  13. P

    MSAADA: Wapi nitapata mizani ya kidigitali kwaajili ya kupimia mazao mpaka kilo 150?

    Hellow wapendwa, Naomba kuuliza wapi nitapata mizani ya kidigital ya kupimia mazao hadi kilo 150? Inahitajika haraka sana?
  14. Wapi naweza kupata mizani za kupimia almasi na bei zake zipoje?

    Wakuu mwenye kujua sehemu vinapo patikana hivo vipimo anijulishe. Natanguliza shukrani
  15. Hii Mizani ya Magari makubwa(weight bridge) hapa Makambako imekaa eneo baya sana

    Wakuu hapa Makambako Kuna mzani wa Magari makubwa, kwa kweli hii mezani imewekwa eneo la ovyo sana,, eneo ni finyu halina mzunguko mzuri wa magari, Mabasi, magari madogo na Malory yanaishia kuviziana tu ili yapishane,, hii inaweza kupelekea ajali kabisa,, Wahusika sijui(TANROAD) fanyeni...
  16. INAUZWA Nauza Mizani used

    Habari wakuu, Nauza mizani used ni nzito haina kipengele ina mawe yote Imethibitishwa na wakala wa vipimo Tanzania Ipo wilaya ya Hai 110k tu 0718569091
  17. R

    Anayejua inakouzwa mizani midogo ya digital (Bathroom scales) Sehemu za Kariakoo

    Wakuu naomba msaada wenu. Natafuta mzani mdogo wa battery wa kupima uzito kwa ajili ya mgogwa kwa jina la kibiashara inaitwa bathroom scale. Tafadhali nisaidie kunijulisha ni maduka yapo ya nauza hizo bidhaa hapa Kariakoo au hapa Dar es Salaam.
  18. Kupunja vipimo (kwenye mizani), biashara inadumaa

    Leo nimeguswa niandike kidogo kuhusu vipimo Kuna baadhi ya wafanyabiashara wamekuwa wanapunja watu kwa maksudi kabisa wakiwemo masikini kupitia vipimo mbali mbali kwa; Kuharibu mizani au yale mawe ya kupimia Kubonyeza ndoo au galoni za kupimia mazao Kuharibu vipimo vya vimiminika nk Hilo la...
  19. K

    SoC03 Mizani ya usawa

    Takwimu nyingi sana zimefanyika kuonesha idadi ya wasomi wenye sifa za kupata ajira zimeongezeka kwa kasi kubwa sana mwaka hadi mwaka na hii imepelekea awsomi kuwa wengi sana mitaani huku idadi ya wanaopata ajira za kudumu au za muda mfupi katika serikali kuwa ni chache kulingana na idadi ya...
  20. Kwanini mizani ya mapenzi hai-balance?

    Kuna wapenzi mliokutana mizani ya mapenzi iko sawa na mnashidana kupendana zaidi? Imagine kuna mdada unampenda sana lakini yeye kama haelewi how deep you're au anaelewa ila anachukulia for granted. Wakati huo huo, kuna mdada/wadada wanatamani sana kua na wewe, wanaonesha jitihada lakini we...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…