mizengo pinda

Mizengo Kayanza Peter Pinda (born 12 August 1948) is a Tanzanian CCM politician who was Prime Minister of Tanzania from 2008 to 2015. He was a Member of Parliament from 2000 to 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. CM 1774858

    PICHA: Rais Samia aongoza Vikao Vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Kwa Mafanikio Makubwa, Je leo ni Paul Makonda au Mizengo Pinda?

    Wajumbe wa mkutano mkuu NEC === Hatimaye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amemaliza Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri kuu Leo kwa Mafanikio Makubwa kazi iliyobaki ni Mkutano Mkuu kesho tarehe 18.01.2025. Rais Samia...
  2. GENTAMYCINE

    CCM wasipomteua Waziri Mkuu Mstaafu Pinda kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara nitawadharau hadi Siku ya Kiama

    Ukiona GENTAMYCINE namkubali Mtu jua nimeshampima kwa Vigezo vyangu vyote na kuona anafaa. Mizengo Kayanza Peter Pinda apewe.
  3. Mindyou

    LGE2024 Mizengo Pinda ajitokeza kwenye kampeni za CCM Mtwara. Ataka wagombea wasibweteke baada ya ushindi wa kishindo 2019

    Wanabodi, Wakuu huyu baba alikuwa wapi siku zote? Kwani bado yupo kwenye siasa? Mlezi wa CCM Mkoa wa Mtwara, Mizengo Pinda, amewahimiza viongozi na wanachama wa chama hicho kutobweteka na mafanikio ya uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa, ambapo maeneo mengi yalishinda bila kupingwa...
  4. Influenza

    Pinda: Maadamu suala la Utekaji linasemwa, liwepo au lisiwepo lazima tuendelee kuwa Wakali hasa upande wa Serikali

    Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda ameeleza anavyosikitishwa na matukio ya utekaji watoto na wengine kuuawa katika mazingira ya utatanishi huku miili yao ikikutwa imenyofolewa baadhi ya viungo kwa imani za kishirikina zinazohusishwa na harakati za uchaguzi Amesema "Wakati naingia Uwaziri Mkuu...
  5. Lord denning

    Pre GE2025 Inawezekana tukapata KATIBA MPYA Mizengo Pinda akiwa Makamu Mwenyekiti wa CCM

    Pamoja na mapungufu yake mengi, ninachomkubali Mizengo Pinda ni uumini wake kwenye Katiba Mpya. Nilishawahi muangalia akitoa maoni TBC akiwa mjumbe wa kikosi cha kutazama hali ya demokrasia nchini na kusema kweli aliunga mkono suala la Katiba Mpya. Pamoja na mapungufu yake mengi ,ninachomkubali...
  6. L

    Pre GE2025 Mizengo Pinda anaweza kumsaidia vyema Sana Rais Samia Umakamu Mwenyekiti

    Mizengo Pinda Ndugu zangu Watanzania, Baada ya Mheshimiwa Abdulahman Kinana kuomba kujiuzulu Umakamu Mwenyekiti wa CCM Taifa na Hatimaye kukubaliwa ombi lake na Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM Taifa nimechekecha kwa haraka haraka sana mtu...
  7. Ngongo

    Katika Ibada takatifu St. Theresa Arusha Mizengo Pinda alipewa nafasi ya kusalimia akaanza siasa

    Waziri Mkuu mstaafu bingwa wa kulia hovyo hovyo alishiriki misa takatifu St Theresa Jijini kwa heshima ya wadhifa aliwahi kushika Paroko akampatia nafasi ya kusalimia waumini. Badala ya kusalimia waumini akaanza ohoo Rais Samia alikuwa Vatican 🇻🇦 alikutana na Baba Mtakatifu walifanya mazungumzo...
  8. R

    Mbarali wamegoma kumsupport Mizengo Pinda uzinduzi wa kampeni za Ubunge

    Mwitikio wa wananchi kwenye uzinduzi wa Ubunge jimbo la Mbarali ni ishara kwamba hali si shwari majimboni kisiasa: Pamoja na Mhe. Waziri Mkuu mstaafu kushiriki katika uzinduzi huo na wananchi kuombwa kushiriki mwitikio ni mdogo jambo linalopelekea kamati ya siasa ya jimbo kukaa leo kwa ajili...
  9. BARD AI

    Mzee Pinda: Adhabu ya kifo ifutwe nchini

    Hoja ya kufutwa kwa adhabu ya kunyongwa inazidi kupata nguvu, baada ya Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda kuungana na wadau wengine kutaka adhabu hiyo ifutwe na badala yake iwe kifungo cha maisha. Mapendekezo ya Pinda yanaungana na wadau mbalimbali, wakiwamo mawakili, watetezi wa haki za...
  10. GENTAMYCINE

    Napingana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda anayetaka Adhabu ya Kifo ifutwe

    Kwanini GENTAMYCINE nataka iendelee kuwepo na tena kama Watekelezaji wakiwa hawapo Mimi nipo tayari Kuwasaidia. 1. Adhabu ya Kifo inaokoa Gharama za Walipa Kodi katika Kuwatunza 2. Adhabu ya Kifo inasaidia Kuokoa muda kwa Watendaji wa Magereza Kuwatunza Wahalifu Wanaotaka a Kunyongwa 3...
  11. Roving Journalist

    Rais Samia amteua Mizengo Pinda kuongoza Baraza la Kumshauri Rais kuhusu Masuala ya Kilimo na Chakula

    Rais Samia amteua Mizengo Pinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Kumshauri Rais kuhusu Utekelezaji wa Masuala ya Kilimo na Chakula
  12. K

    Anayejua majina ya watoto wa Mizengo Pinda

    JF Naomba kuuliza. Waziri Mstaafu Mizengo Pinda ana watoto wa4. Naombeni sana mnisaidie majina yao. Watu wanapigwa huku mtaani. Kwenye biography mitandaoni wanaandika tu 4 children ila hakuna majina yao. Anejua please. Asanteni
  13. Abdull Kazi

    Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda azindua maonyesho ya michoro ya India jijini Dar

    Waziri Mkuu mstaafu Mheshimiwa Mizengo Pinda akizindua maonyesho ya michoro ya Msanii wa India Bw Narendar Reddy katika Ukumbi wa Ubalozi wa India . Katika uzinduzi huo uliofanyika Jana pia jumla ya picha 20 zilizochorwa na wasanii wa Tanzania chini ya uongozi wa Narendar Reddy zilionyeshwa...
  14. figganigga

    Mizengo Pinda: Wananchi wa Loliondo wanaohofia kuhamishwa, wasiwe na Wasiwasi (Machi, 2013)

    Salaamm Wakuu, Hapa chini ni barua ya aliyekuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, aliyomuandikia Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakati huo Magesa Mulongo, akitaka akawaondoe Wasiwasi Wananchi wa Loliondo wanaohofu kwamba Watahamishwa. Tuisome kwa Pamoja na tutafakari, je kulikuwa na Lazima ya kutokukaa meza...
  15. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Mizengo Pinda saidia kuharakisha mchakato wa Katiba uepuke laana ya uzeeni

    Pole na majukumu Hongera kwa kuitwa kwenye kikosi kazi cha katiba na maridhiano. Bahati nzuri wewe ni mtoto wa mkulima na unatambua katiba iliyopo inatesa na kufukarisha wakulima Kila siku kwa kuwalinda wabadhirifu na wapigaji wa pembejeo za wakulima! Tutetee sisi wajukuu zako wakulima wenzio...
  16. Replica

    Mizengo Pinda: Mwalimu alikataa kuwa 'dictated' na watu kutoka nje kwa sababu ya misaada

    Waziri mkuu mstaafu wa awamu ya nne, Mizengo Pinda akiwa kwenye kumbukizi ya miaka 100 ya kuzaliwa baba wa Taifa, hayati Mwl. Nyerere ameongelea misaada na masharti yanayokuja nayo. Pinda amesema mwalimu alikataa katakata misaada yenye masharti yasioendana na Maslahi ya Taifa. ======== Mizengo...
  17. OKW BOBAN SUNZU

    Mizengo Pinda: Tuanze mchakato wa kuwa na Tume huru ya Uchaguzi

    "Kuna mambo ambayo sisi CCM kama chama tawala lazima tubebe dhima. Tutoe uongozi. Kwa, mfano hili la Tume Huru ya Uchaguzi kizuizi ni nini? Hili ni jambo ambalo lazima tukubaliane na wenzetu wa upinzani na tuanze mchakato wa kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi" Mzee Mizengo Pinda Hii inatoka...
  18. M

    Kwamoto huu wa CCM Ushetu CHADEMA mlikuwa sawa kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui "

    Kwamoto huu wa CCM Jimbo la Ushetu-Kahama Chadema mlikuwa sahihi kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui " "Hakuna kama Samia " Sitaki kuongeza neno,hebu fungua mwenyewe hiyo video ili uone mafuriko ya maelfu ya watu huko Ushetu ikiwa...
  19. Nigrastratatract nerve

    Marais Wastaafu, Mawaziri Wakuu wastaafu watembelea Bwawa la Nyerere la mto Rufiji

    Kwa kutambua umuhimu wa mradi wa kufua umeme wa Mto rufiji Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu wametembelea bwawa la kuzalisha umeme la NYERERE Hii ni hatua kubwa za kuenzi legacy ya JPM Ndio maana tunasema JPM rest in power === Viongozi wakuu wastaafu Rais Ali Hassan Mwinyi na Jakaya...
  20. wakatanta

    Dodoma: Mzee Mangula ulichomfanyia Dkt. Kikwete, Mungu anakuona

    Hakika huyu mzee wa Cardinal rules ni kiboko. Ameendesha kikao kibabe sana. Wakati Jakaya Kikwete akiwa na kalamu na karatasi akiandaa nondo za kutema kwenye mkutano huo akiamini atapewa nafasi, hakuipata. Kilichotokea ni kuitwa Mizengo Pinda, tena bila ya Mangula kugeuka nyuma akisema kuna mtu...
Back
Top Bottom