miziki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Ni kwamba imeshindikana kutengeneza miziki, comedy, n.k. bila vionjo vya Ngono, Vilevi, n.k. ? Tunapata taabu sana kuangalia tv na watoto

    Imekuwa too much sasa, Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui ya ngono, vilevi, lugha chafu, n.k.
  2. GENTAMYCINE

    Kwanini hawa Wanamuziki Wakongwe wa Miziki ya Dansi na waliofanya vyema Kipindi chao tukionyeshwa Wanaumwa wanaonekana 'Wamedhoofu' mno?

    Mwezi Mmoja uliopita huko Mitandaoni tulionyeshwa Picha Mjongeo ya Marehemu Mzee King Kikii na hali yake ya Kiafya na wenye Maono tukajua ni suala la muda tu Israeli atafanya yake na imekuwa. Muda si mrefu tena (yaani leo) kuna Picha Mjongeo nyingine inamuonyesha Mwanamuziki mahiri kipindi chake...
  3. GENTAMYCINE

    Mashabiki wenzangu wa Miziki ya Congo DR (Bandeko Nangai) naomnba kumjua Mpiga Solo wa sasa wa Quarter Latin ya Koffi Olomide

    Kwani kwa Ukung'utaji wake wa Gitaa tamu na nilipendalo la Solo naona anataka Kuwatishia kabisa Amani Wapiga Solo HATARI wa Wenge Musica BCBG (yake JB Mpiana) aitwae Mitre Ficare Mwamba na Flam Kapaya wa Wenge Maison Mere ya Werrason. Kuna Wimbo mmoja Mtamu kama si Mzuri wa Koffi Olomide uitwao...
  4. matunduizi

    Watu wengi wana mapepo ya kimyakimya na yenye kelele kwa sababu ya Miziki na nyimbo wanayosikiliza

    Mziki ni ibada. Asilimia 99 kinachofanyika mbinguni ni mziki na kuimba. Asilimia kubwa ya kinachofanyika kwenye ikulu ya ibirisi ni nyimbo na miziki. Kila mziki unaroho nyuma yake. Wanaweza kuwa roho wasafi na roho wachafu. Ndio maana miziki ya ibada ikipigwa kwa utukufu malaika hushuka na pepo...
  5. Pang Fung Mi

    Wanawake wanavyocheza mziki kwa kubinua makalio ni mitego kwa wanaume?

    Salama waungwana, Niwaulize kwa uchache tu hivi huu ubinuaji wa maprosoo a.k.a makalio Kwa wanawake wakati wakicheza miziki nyakati hizi za ndebendebe na amapiano ni kwamba wanakuwa na stimu mbinuko kwenye hayo maeneo au dhamira ni uchokozi wa kupandisha stimu za ngono kwa wanaume. Hii kero ni...
  6. TUKANA UONE

    Mimi Ndiye Mshamba au ni Kwamba sifuatilii mambo ya Miziki?

    Aisee sikuwahi kujua kama wimbo wa Maria ulioimbwa na mwanamuziki Fally Ipupa umetoka miaka 4 iliyopita,mimi nilipousikia mwaka huu na ulipovuma sana nikadhani ni wimbo mpya kumbe ushakula chumvi za kutosha. Ni kitu gani kimefanya huu wimbo mwaka huu umekuwa na umaarufu mkubwa kiasi kwamba watu...
  7. GENTAMYCINE

    Hivi Wapenzi wa Muziki wa Congo DR hasa Masebene na Rhumba hapa JF hatuwezi kuja na huu Utaratibu?

    Kwa yoyote anayekutana na Miziki ya Sebene na Rhumba (ya zamani na mipya) awe anatuwekea hapa ili Wadau Wengine tujue na tuifuatilie na hata tuwe nayo? Kama kuna Kitu GENTAMYCINE nakipenda na huwa Kinanifariji na kunifanya nijione sina Shida za Kimaisha wakati ninazo kuanzia Dar es Salaam hadi...
  8. B

    Miziki toka nchi za Afrika

    Luanda, Angola Shiny I - E ndege na
  9. D

    Ushauri: NEMC fanyeni haya ili kupunguza kelele za muziki mtaani

    Nafaham upo ugumu mkubwa wa kushughulika na watu wanaoamini KERO ni haki yao! Yaani kuna watu wanajimilikisha haki ya kuwakera wengine! Na wanaoamini wako sahihi! Zamani kukuta spika ya disco kanisani ilikuwa HAKUNA! Na watu waliogopa kucheza sebene kanisani lakini hivi Leo ni kawaida sana...
  10. T

    Taarifa ya ajali ya Tanga vifo 17 naiona Aljazeera, TV za bongo zinaonesha miziki tu

    Nimeikuta ALJAZEERA wanaionyesha muda wote kwenye kimstari kinachopita chini, scrolling ticker. Yani wameipa umuhimu. nikaenda kutafuta details kwenye TV za bongo, zote zinaonyesha vipindi vya miziki... Ndio aina ya media ambayo inaruhusiwa. Serikali kwa makusudi inalea taifa la watu wasio...
  11. Doctor Ngariba

    Tabia ya kuweka miziki yenye video za nusu uchi kwenye usafiri wa umma ikome

    Shalooom! Wakuu, nilisafiri kwa basi fulani kuelekea mkoani Mtwara ila nilijiskia vibaya sana kuona kila muziki unaochezeshwa kwenye luninga ya gari unaonesha watu walio nusu uchi. Mbaya zaidi nilikuwa na mtoto wa sister naye macho yake yalikuwa yanakodolea kila kinachoendelea. Moyoni...
  12. Akilihuru

    LIONEL RICHIE: Mwamba na mtawala wa muziki wa Funk, Soul, Rhythm, Blues and country music

    Habari ya mchana huu wakuu, leo nimekuja na historia ya huyu mwamba na mtawala wa aina mbali mbali za miziki laini, yan ile inayogusa mioyo ya mamilioni ya wapenzi wa miziki hapa duniani. Aina hizo za miziki ni funk, soul, rhythm, blues and country. Anaitwa Lionel Brockman Richie Jr (born June...
  13. Faana

    NEMC: Huku Mitaani Tunateseka Kelele za Miziki Bar Zimezidi

    Naandika kwako Mkurugenzi wa NEMC - HQ kwamba huku mitaani hasa katika miji kelele za miziki kwenye ma bar, pub saloon za vinyozi, wauza CD, vigodoro pamoja na nyumba za ibada zimekuwa kero kiasi kwamba Mamlaka yako inaonekana ipo tu kama bendera inatumia fedha za serikali bila tija. Kuna namba...
  14. T

    Ngoma na miziki yote kwa sasa inapigwa Lumumba, Ufipa wamebaki kudemka tu!!

    Inavyoonekana siasa za nchi hii zimeelemewa na CCM maana pamoja na wapinzani kuwa katikati ya changamoto lukuki, bado habari zao hazipewi nafasi kubwa ya kuzungumzwa hasa humu mitandaoni. Kwa muda mrefu sana majina yaliyovutia mijadala mingi ni pamoja na Samia, Polepole, Nape, Sabaya, Shaka...
  15. Buenos Aires

    Makanisa na vinanda/miziki kama kawaida yao

    Kuna kanisa mtaa mmoja huku nilipo, Sijajua hawa ni walokole ama! Mtaa mzima hapa ni kelele kwenda mbele. Miziki inapigwa kama wako disco mazee! Aise wanakera mno na makelele yao, serikali naomba muwashugulikie hawa watu, tembeeni mikoa yote mpaka vijijini.
Back
Top Bottom