Hii michezo ya kisiasa ya kupotezana ina mizizi mirefu toka kwa founder wa nchi.
Yeye mwenyewe marafiki, wanachama na wale waliojaribu kumpinga walikiona cha moto.
Watu kukimbia nchi hawajaanza leo, watu kuigopa CCM former TANU haijaanza leo.
Baba alijenga nyumba yenye msingi mbovu kabla ya...