Habari Mwana JF,
JamiiForums inautaarifu Umma kuwa kutokana na tatizo la kukosekana kwa Intaneti, Mjadala uliopangwa kufanyika leo Mei 13, 2024 kupitia X Spaces umeahirishwa hadi wakati mwingine itakapotangazwa tena.
Tunaomba Radhi kwa usumbufu uliojitokeza.