Watu wengi huwa wanapenda kuwa na kurasa za mitandao ya kijamii kwa ajili ya biashara zao kama vile,FB,twitter,Whatsap n.k. Wengine hujiongeza na kuwa na blogs,na hata kuwa na website kabisa.Hii yote ni katika jitihada za kutaka kuwafikia wateja wengi.
Kitu watu wengi wanasahau ni kwamba bidhaa...