Hapooooo....
Nadhani tuko fresh bhandugu. Leo nimewiwa kuwapa stori hii ambayo hadi kesho sitokaa nisahau kisa hiki cha aina yake.
Kuna siku nilikuwa kwa mganga wa jadi katika harakat za kuiseti mipango iende kama ninavyotaka (kulingana na imani yangu), nilikutana na jamaa mmoja wa umri kati...
Wakuu za Usiku huu
Leo katika Harakati za Kilimo wakati Jembe la Trekta linapita kuna sehemu likakutana na Jiwe gumu sanaa na kuna alama ya zege la kutisha baada ya Kuuliza wazee wakaniambia Hapa pana Sanduku la Mjerumani na kwa maelezo yao Masanduku hayo yanakuwa na vitu vya thamani so kama...
Tamasha la Land Rover limefanyika kwa mara ya kwanza nchini Tanzania mkoani Arusha leo 12 Oktoba 2024.
Arusha ni kitovu cha utalii Afrika Mashariki zaidi ya magari 1,000 ya Land Rover yamehudhuria tamasha hilo, huku zaidi ya watu 2,000 wakikuhudhuria ufunguzi na kushiriki tukio hilo.
Guinness...
Huwa najiuliza ingekuwaje tungepata uhuru mwaka 1919 baada ya Mjerumani kushindwa vita vya kwanza vya duni 1914 hadi 1918.
Kumbuka tungekuwa nchi moja na Rwanda na Burundi.
Je, tungetumia lugha gani shuleni. Kumbuka kingereza bado hakijaingia wakati huo ila Germany kwa maeneo machache.
Kabila...
Katika maisha yangu ya kusoma vita vikubwa vilivyowahi kupiganwa duniani basi vita vya kwanza na vya pili vya dunia haviachi kugusiwa.
Sasa katika kufundishwa kwa vita hivi vikuu vya dunia hasa vita vya pili kuna jambo moja nimegundua.
Jambo lenyewe ni kuwa katika maadui wanao zungumziwa sana...
Friends and Our Enemies,
Historia wakati mwingine kwa makusudi au kwa bahati mbaya haiwapi heshima wazalendo hali inayopelekea kuwasahau wazalendo hawa.
1. Alisongea Mbano
2. Abdallah Mchimani
3. Abdulhamid Mfaranyaki
Hawa ni miongoni mwa mashujaa ambao walishiriki sana kwenye maji maji...
Rais wa Ujerumani awaomba radhi Watanzania kuhusu uhalifu wa Wajerumani wakati wa Vita vya MajiMaji
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier siku ya Jumatano ameomba radhi na kueleza kufedheheshwa kwake na uhalifu uliofanywa wakati wa utawala wa kikoloni wa Ujerumani nchini Tanzania, wakati huo...
OGOPA mno kuchanganya mapenzi na kazi! Saa kadhaa baada ya Harmonize au Konde Boy kumtangaza Kajala Masanja au Mama Paula kuwa C.E.O na meneja wake mpya, meneja mwingine wa jamaa huyo, Beauty Mmari almaarufu Mjerumani anadaiwa kufungasha virago.
Katika ukurasa wake wa Instagram, Mjerumani...
.
BMW Series 1 [Coded E87] ni moja ya subcompact executive cars inayotengenezwa na BMW toka kwa 2004 ikitokana na BMW 3 Series Compact, Series 1 tunasema ni solid athletic design [ngumu yenye umbo la sport]...
.
Features za hii gari imeifanya kuwa moja ya gari ndogo nzuri imara na inayovutia...
Habarini za leo wanaJF
Niliombwa na baadhi yana JF kutoa ushuhuda wangu kidogo jinsi nilivyopambana kutafuta mali za mjerumani mkoani Morogoro. Hii ni baada ya kuona nikichangia baadhi ya thread kuhusiana na matukio hayo. Ni matukio ya kweli
Ndugu wana JF kwa wale wanaopenda kufuatilia habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.