Vita nchini Lebanon ilipokuwa inaelekea mwisho, mzozo mwingine mkubwa umezuka Mashariki ya Kati - au labda si mpya sana. Waasi wa Syria wanaopinga serikali wameanzisha mashambulizi ya haraka dhidi ya jiji kubwa zaidi nchini, Aleppo. Tayari wanadhibiti vijiji kadhaa na wameendelea hadi barabara...