Katika kuzurura kwangu nikakatiza Halmashauri ya mji wa Bunda kata ya Guta kijiji cha Nyabehu katika shule ya msingi Nyabehu, Aibu niliyokutana nayo katika shule hii ni aibu mbaya kwa Halmashauri ya mji ya Bunda, kwenye shule hii tangu kuanzishwa kwake hakuna huduma ya maji hali inayopelekea...