mji wa morogoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mgosi Mbena

    Kwanini Morogoro ni ngumu kuwa jiji kubwa la kisasa

    Katika tathmini ya majiji yote kukua hutawai kuisikia Morogoro inakua au inategemewa kukua kutokana na miradi au vipaumbele vya nchi. Morogoro ipo katikati ya majiji mawili makubwa Dar na Dodoma. Hii ni ngumu sana uwekezaji kufanyika hapa. Pole Morogoro utabaki kuwa njia panda.
Back
Top Bottom