Na Nusra Shaaban
Walimu wapya walioajiriwa katika Wilaya ya Mjini wametakiwa kuzingatia maadili ya taaluma, kuwa wavumilivu, na kuwa na moyo wa kujituma ili kuhakikisha wanafunzi wanapata elimu bora.
Akizungumza katika semina ya kuwapa nasaha za kitaaluma iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano...