Kisa cha Ally Kamwe na Baba yake kinawasanua wabishi wote, sisi tumekaa pale tunawaangalia na haubadirishi msimamo, kuoa ni ushetani na kuoa ni gereza huwezi kwa ujinga wako na upofu ukabeba shida za mwanamke unachanganya na za kwako.
Wakati mwanamke anakuja na shida zake ili kujikwamua na...
Huyo si mwingine bali ni C.S. Lewis
C.S. Lewis, once a firm atheist, became one of the greatest Christian thinkers and writers of the 20th century. His journey from skepticism to faith was not emotional or blind—it was the result of deep intellectual reflection. Through his powerful books, he...
Kwa Tanzania huyu mmiliki wa mabus ya Shafineyz ndiye mmiliki mdogo zaidi wa mabus kwa Tanzania au kama nitakuwa nimekosea mtanirekebisha.
Ila tusiwe tu wachoyo wa pongezi inabidi tumpongeze sana kijana mwezetu kwa kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo kwa kumiliki kampuni ya mabus maana kumiliki...
Ana umri wa miaka 41.
Ni raisi wa nchi ya el Salvador, nchi ndogo iliyopo Latin America.
Ni raisi machachari kwelikweli.
Siku za nyuma nchi hii ilikuwa na rekodi ya kutisha kabisa ya matukio ya kiharifu. Ilikuwa ni ngumu kupita kipande chochote kwa salama pasipo kuchezewa rafu na wajomba...
Barua ya Wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, na Mwenyekiti wa CCM Taifa
Kwako, Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Amiri Jeshi Mkuu,
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa,
Mpendwa Kiongozi wetu,
Nakupa salamu za...
Huu ni mwezi wa sita au zaidi, petroli, diesel na mafuta ya taa yanashuka bei kila mwezi, hivi hamuoni au dharau?
Au mnangoja yapande ndio mlaumu?
Mkijua kulaumu mjue na kupongeza.
Mama mpaka achoke mwenyewe
Anaitwa Benson Kigaila.
Cheo chake Naibu Katibu Mkuu Bara - CHADEMA.
Hajawai kuchaguliwa wala kupigiwa kura ila ameongoza miaka mingi CHADEMA.
Mke wake yupo bungeni ni mmoja wa wale COVID-19.
Ameshasema yeye sio muumini wa ukomo wa uongozi ikiwezekana hata Rais wa nchi asiwekewe ukomo wa...
Miaka ile Yesu anazaliwa, kulikuwa na kijiji kimoja kiitwacho Gitta, kilichopo ndani ya Samaria, hapo hapo nchini Israeli. Katika kijiji hicho, alizaliwa kijana mmoja, ambaye twaweza kusema alikuja kuwa adui hatari zaidi kuwahi kutokea katika historia nzima ya Ukristo.
Tunathubutu kusema...
Ilikuwa tarehe 19 July mwaka 64AD. Moto mkubwa ulianza kuwaka karibu na mtaa uitwao Circus Maximus, katika jiji la Rumi. Kwa sababu jiji la Rumi kwa miaka hiyo lilikuwa limejengwa kwa vitu ambavyo vinashika moto haraka, jiji zima likashika moto mkubwa!
Kwa miaka ile, bado hakukuwa na nyenzo...
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania ,.
Kazii iendelee,?
Turudi kwenye topic yetu,...
Uzao wa abraham wa kwanza aliambiwa na Mungu apate mtoto basi wakajaribu na sara ikashindikana . Mpaka sara akaamua, kumleta kijakazi wake awazalie mtoto, ila baada ya uzao yule mtoto...
Jina lake : Ally Shaban Kamwe
Nafasi : Kitengo Afisa habari Yanga
Mkoa aliozaliwa : Kilimanjaro
Kabila : Mpare
Umrefu : 5.1
Urefu wa ume wake : 4.7
Uzito : 59kg
Kabila la Mama : Mchanga
Kabila la Baba : Mpare
Mama anashabikia : Yanga
Baba anashabikia : Simba
Amekulia : Dar es salaam...
Wakati wengine wakikimbilia fursa ya mafuta baada ya kugunduliwa, yeye aliiona fulsa kwenye uchafu wa mafuta uliokuwa ukiwakera watu.
Anakumbukwa sana kwa kauli yake maarufu isemayo:
"Innovation doesn’t happen in laboratories; it’s discovered in the field."
Na hii ndiyo hadithi yake.
Mwaka...
Na Comrade Ally Maftah
PACOME WA MCHONGO
Leonel Ateba mshambuliaji wa Simba Sports Club mwenye jezi namba 13, amezaliwa tar 6 Feb 1999 ( 25 ) Cameroon Douala, ambae ametokea USM Alger, iliyopo Algeria ana urefu wa sentimita 183. pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya Cameroon
Leonel Ateba...
BEAVERS ni jamii ya panya na niya pili kwa ukubwa kati ya jamii za panya wote waishio kwa sasa. Wanapatikana sana Katika ukanda wa kaskazini kama Amerika ya kaskazini na ulaya ya magharibi.
Kimaumbile wana urefu wa kuanzia mita 0.3 hadi 0.5 (kuanzia kichwa hadi mkia), na kiupanna sentimita...
Jinsi Hetty Green Alivyokuwa 'Mwanamke Tajiri Zaidi Nchini Amerika' Wakati wa Enzi ya miaka ya dhababu "GILDED AGE"
Akiitwa "Mchawi wa Wall Street," Hetty Green alikuwa mmoja wa watu tajiri zaidi nchini Marekani mwanzoni mwa karne ya 20.
Katika karne ya 19 nchini Amerika, ukuaji wa viwanda...
Cuckoo ni jamii ya ndege wasafiri ambapo husambaa katika kipindi cha kiangazi kwenye bara la ulaya, Asia na Africa.
Jamii hii ni aina ya ndege hukwepa majukumu kwa kupandikizia watoto wao kwa jamii nyingine za ndege ili walelewe tangu yakiwa bado mayai.
Kwa maana kuwa hutaga kwenye viota vya...
Narudia tena Mungu awape ufahamu kulijua neno la Mungu wapendwa.
Kuna jirani yangu ni mpenzi sana wa mahubiri ya redio. Akajichanganya kasikia kanisa moja huko buza, alipofika no 1 kumwona nabii akaambiwa shida zake zinahitaj gharama kubwa, aliemloga ametumia hela kubwa kaambiwa atafute...
Anaitwa Dharmendra Mzimba.
Huyu lazima kazaliwa miaka ya 90 mwanzoni na baba ake alikuwa ana angalia sana picha za kihindi.
Kanikumbusha Niliwahi kusoma na jamaa yeye baba ake alikuwa anawaita watoto wake majina ya wasanii na watu maarufu. Alikuwa anawapa majina yote kamili kamili.
Kwa mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.