Hivi kwa hizi mvua ninazoziona, mpaka mjini zinanyesha, huko milimani ndiyo itakuwaje? Yaani hapo ni tufanye mvua ndiyo sababu ya mito kujaa maji, maana yake vyanzo main ni chemchem.
Kama ulikuwa umepanda maharage yako, tegemea kula kande.
Ila TANESCO vipi lakini? Hivi kweli 2022 mnatufanyia...