MJUE FREDERICK DE KLERK 1936-2021
Mkombozi wa Afrika Kusini
Najua wajua lakini acha wanaojua kidogo wajue zaidi.
Ninataka umjue rafiki wa Waafrika weusi kwenye kundi la weupe wachache, watawala fedhuri Makabulu (boers) wa Afrika kusini. Mtu huyo wa ajabu ni Frederick de Klerk rais wa mwisho...