Aliyegundulika sio mjumbe atolewa chini ya Ulinzi mkali kwenye Ukumbi baada ya kugundulika kwenye Mkutano Mkuu CHADEMA, Mchakato wa Uhakiki ukiendelea.
Bw. Marko Yohana amedai ameonewa, ameonesha kitambulisho na barua ya kuthibitishwa kwake.
Sintofahamu imezuka katika uchaguzi wa viongozi wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), baada ya wajumbe kumtilia shaka mmoja wa wagombea aliyekuwa akitoa nauli.
Uchaguzi wa Bavicha unaendelea katika ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Januari 13, 2025.
Pia, Soma...